Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) wamekionya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kutokana na tabia yake ya kupinga mambo mbalimbali yanayofanywa na Serikali...
Wakati Wenje anapigania kwa Nguvu zote Uraia pacha kule bungeni tulihisi anatetea Wajaluo wenzake kule mpakani
Kumbe mambo ni mengi kwamba hata Sugu ni " mnyamwezi" wa California
Nchi ngumu sana...
Na Gregory Jumbe Mahanju,
Tunaambiwa kua uyaone, tembea uone mengi, ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Hizi methali nilipokua mdogo nilidhani tu misemo tu ya waswahili làkini kumbe ni...
Dr Kigwangala amesema alipokuwa Waziri wa Maliasili na Utalii alifanya mambo mengi mazuri lakini hawezi kuyasema kwa sababu yeye siyo mpenda kusifiwa.
Ila kuna machache ambayo wengine wanaona...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan afungua Mkutano wa 10 wa Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) uliofanyika kwenye ukumbi wa Kituo cha...
Kwa mara ya kwanza Bawacha imefanywa mkutano mkubwa nchini Zanzibar uliojadili mustakabali wa Taifa
Mgeni rasmi Naibu Katibu mkuu amesema Chadema inakubaliana na mapendekezo ya Kikosi kazi cha...
Wadau nawasalimu.
Juzi SERIKALI ya RAIS SAMIA kupitia Wizara ya Uchukuzi imepokea Baadhi ya Mabehewa kwa ajili ya Treni ya Umeme. Nilitarajia huyu Bwana angesifia sana Ujio wa hayo Mabehewa kwani...
Rufani ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya imepokelewa mahakama kuu kanda ya Arusha ikiwa na hoja nzito 10 za kupinga kifungo cha miaka 30 jela alichofungwa baada ya kuhisiwa...
Spika Job Ndugai amehoji tatizo la kukatika kwa umeme nchini na kuitaka kamati ya nishati kukutana haraka na bodi ya mpya ya Tanesco ili kuwaeleza kazi kubwa iliyoko mbele yao.
Sakata hilo...
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi...
Mbunge Nicodemas Maganga wakati anachangia mpango wa taifa bungeni amewaonya mawaziri kuwa waache kuwa na mipango mingi isiyotekelezeka na sasa hivi wamemwachia rais Samia acheze peke yake na kila...
Kwa mujibu wa mbunge wa jimbo la Arusha mjini bwana Mrisho Gambo, baadhi ya viongozi wa jiji wamechukua fedha za halmashauri na kuziweka katika akaunti zao binafsi, akidai kuna mmoja amewekewa...
RPC Kingai ameeleza hatua kwa hatua bila kuacha shaka jinsi Freeman Mbowe alivyopanga kumuuwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Ole Lengai Sabaya kwa kutumia perfume ya sumu kwa madai kuwa Sabaya...
Katiba ya CCM inatambua kuwa CCM ni chama cha Kijamaa (Wakulima na wafanyakazi) lakini miaka yote jambo hili limekuwa si kweli kwa 100%.
Ndani ya CCM kuna makundi 3 ya kiitikadi Bourgeoisies(Hili...
Wanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa, inakuletea mfufulilizo wa makala elimishi kuwaelimisha Watanzania, kuijua Jumuiya ya Afrika Mashari na Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na fursa zake...
IKUNGI-SINGIDA
Na Gregory Jumbe Mahanju,
Wakati Mama yetu anaendelea kujipambunua kutafuta pesa kwa wahisani ili kutekeleza ilani ya CCM, huko Wilaya ya Ikungi mkoani Singida katika kata za...
Kama ni Magufuli kwa msaada wa Ndugai na Polepole ndio waliwaingiza akina Halima Mdee na wenzake bungeni kwa njia ya " mkato" mbona bado wanadunda?
Kama Tundu Lisu, Wenje na Lema walimkimbia...
Katika muongo mmoja uliopita, Tanzania imeorodheshwa kama mojawapo ya nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara zenye viwango vya kasi vya upanuzi wa umeme, kulingana na taasisi ya Breton Wood.
Mkopo...
Habari,
Kwangu mwalimu Nyerere namlaumu na nitaendelea kumlaumu kabisa yeye ndio chanzo cha haya yote yanayotea hapa Tanzania.
Ilikuwaje kama yeye Rais baada ya uhuru asingeibadilisha katiba? Na...
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa mkombozi kwa wakulima nchini, tunaona jinsi serikali inavyopambana katika kuwainua wakulima kwa kutoa mbolea za ruzuku, kufuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.