Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugai alipotoa TAHADHARI kwa serikali ya wamu ya 6 kuwa nchi yetu itapigwa mnada endapo itaendelea kukopa fedha hovyo toka nje, CCM na jumuiya zake zote walimjia juu. Na hata siku anamwapisha...
6 Reactions
65 Replies
5K Views
Pamoja na mabilioni kutolewa, wewe kuzunguka nchi nzima kwa Helicopter na ahadi ya Rais kuwa May 2022 kazi hiyo itakamilika matokeo ni ZERO. Watu wengi wanaishi mpaka sasa nyumba hazijulikani ni...
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Wananchi wa Kisongo Wilaya ya Arumeru Magharibi alipokuwa njiani akirejea mkoani Dodoma baada ya kukamilisha ziara yake...
9 Reactions
74 Replies
4K Views
Pamekuwa na porojo za vita ya kuondoa umaskini hii ikamaanisha pia kuondoa maskini katika jamii. Lakini kwa uhalisia dunia haitakalika kama umaskini utaondolewa na maskini kutokweka sawia. Bila...
0 Reactions
0 Replies
386 Views
Lisemwalo lipo na kama halipo basi lipo njiani linakuja. Tulishasema kuwa uvccm ndiyo wanao ongoza kuanzisha fujo hapa nchini. Tazameni kwenye clip hiyo muone jinsi walivyotwangana.
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Picha inajieleza, makosa ni mengi sana. Walinzi wa Rais Samia ni kama wamejisahau. Hii picha inaonesha ni jinsi gani Rais alikuwa hatarini.
17 Reactions
59 Replies
8K Views
Nianze Kwa kutoa pole Kwa Wafiwa waliofiwa na ndugu Yao na kufanikisha kumpakia kwa ndege kutoka Kalatu mpaka uwanja wa KIA mkoani Kilimanjaro. Nianze Kwa kuusema ukweli Mimi ni mwanasiasa...
4 Reactions
7 Replies
958 Views
  • Closed
Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini. Angalia viongozi waliochaguliwa kuanzia halimashauri kuu, Uvccm...
20 Reactions
131 Replies
10K Views
Wakuu habari Nilikuwa naangalia YouTube nikamuona huyu mama wakati anatoa michango yake bungeni, na hasa kwenye suala la escrow, kwa hiyo kutokana na michango yake hiyo nikaona ni vizuri nione CV...
0 Reactions
59 Replies
16K Views
Ndugu zangu mtu huvuna alipopanda mbegu,alipopalilia na kuhudumia mmea. Mpaka Sasa Chadema Haijapanda chochote katika mioyo ya watanzania,Hata shamba haina Wala mikakati na mipango ya shamba...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Serikali ya Mkoa wa Geita imewataka wazazi mkoani humo kuacha kuwanunulia simu, Watoto wao ambao bado wapo mashuleni ili kuwaepusha na mmomonyoko wa madili unaotokana na mitandao ya kijamii...
0 Reactions
3 Replies
915 Views
Binafsi namheshimu sana raisi wangu Magufuli japo sikumpa kura yangu(huo ndio ukweli) lakini tunapaswa kuzitii mamlaka tulizonazo. Wakati anaingia madarakani aliapa wazi kwamba anataka kila...
31 Reactions
187 Replies
21K Views
Kumekuwa na haka kamsemo ka kizembe kuwa lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka. Huu ni upotoshaji. kwanza chama cha siasa ni kitu gani? chama cha siasa ni umoja wa watu wenye...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkoa wa pwani sijui nani aliuroga nadhani alie uroga huu mkoa tayar alishakufa. Huu mkoa una barabara za kuunga unga mno ni aibu tupu ukiwa ni mkoa unao unganisha mikoa ya kusin lindi na mtwara...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
GREAT THINKERS. Naamimi sisi ni watu ambao tunaupeo mkubwa kuliko vyombo vya habari vilivyojaa proganda na waandishi uchwara ambao hawapendi kuuliza maswali wala kuwa na ma critical thinkers...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Katika magazeti ya leo story kubwa ni wabunge kumuunga mkono Lowassa eti watu kama Komba, Chatanda, Ntukamazina wote wamefunguka. Binafsi mradi huu niliutarajia sema ulichelewa, kinachooudhi ni...
8 Reactions
152 Replies
27K Views
Kuendelea kuanguka na hatimaye kupotea kwa CCM katika ramani za Siasa jijini Arusha ni jambo tulilotarajia mara tu baada ya kuhamishwa kutoka Tanga kuja Arusha, kwa lengo la kuja kuwa sehemu ya...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
1. Ruhusu mikutano ya Siasa iendelee maana iko Kikatiba na kisheria. 2. Heshimu Haki za binadamu ambazo zimeainishwa kwenye Katiba. Kuna uvunjifu wa haki za binadamu mdogo mdogo 3. Waondoe akina...
20 Reactions
54 Replies
3K Views
Habari za usiku wanajukwaa. Ni muda mrefu sijachangia chochpte humu wala kuweka bandiko lolote humu zaidi tu ya kusoma mawazo yenu. Naomba nieleweke kwamba mimi ni mfuasi mtiifu wa chadema na...
28 Reactions
98 Replies
7K Views
Siasa za Iringa zimebadilika sana na kwa hakika nawapongeza Wanasiasa wetu wote ambao kimsingi ni kama wameshastaafu. Mchungaji Msigwa kwa sasa amejikita kwenye huduma ya kumtumikia Mungu wa...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom