Rais Mwinyi awaalika Chadema kwa Kikao maalumu Zanzibar, wao Wampongeza na kuahidi ushirikiano!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,979
Kwa mara ya kwanza Bawacha imefanywa mkutano mkubwa nchini Zanzibar uliojadili mustakabali wa Taifa

Mgeni rasmi Naibu Katibu mkuu amesema Chadema inakubaliana na mapendekezo ya Kikosi kazi cha mustakabali wa kisiasa Zanzibar kilichoundwa na Rais Mwinyi

Aidha Mwalimu amesema Chadema inataka Muungano uangaliwe upya na uwe wa Haki ambapo nchi zote zinazounda Muungano zitafaidika

Naye mjumbe wa Kamati kuu amesema Rais wa Jamhuri ya nchi ya Zanzibar amewaalika Ikulu kwenye kikao maalumu cha Rais na Chadema tu na kwamba wameupokea mwaliko huo kwa mikono miwili

Source ITV habari
 
Bawacha ni mbwa

W
 
Huyu mwinyi na Samia wanatamani kuuvunja muungano ni swala la mda tu. Wanazungu zunguka ili kuwapa nguvu chadema wazidi kuuponda muungano ili na wao washikilie haphap Kama justification. Mi Kama great think nimeiona mbele zaidi
 
Ni kweli Rais Mwinyi yuko mbioni Kubadili Katiba zanzibar
 
Back
Top Bottom