Hivyo ndivyo yanavyopaswa kujibiwa maswali ya kipashkuna,
Hivyo ndivyo anavyopaswa kujibiwa mwandishi anayesukumwa na wambea wa mitandaoni, a.k.a haters badala ya utaalamu wa taaluma yake.
Hivyo...
Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ameshindwa kuhudhuria mkutano wa 10 wa CCM baada ya kuugua mafua makali akiwa tayari yuko jijini Dodoma.
Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa CCM, Rais...
CHADEMA mnadanganywa Sana.
Na hakika mnadanganywa.
Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee.
Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge.
Poleni...
Kwa katiba iliopo Jeshi la Polisi hawana uwezo wa kumkamata mkuu wa wilaya, hii ndio katiba tulio nayo, na ndio maana hawa CCM wanaitetetea sana.
Kwa utawala wa sheria huyo mkuu wa wilaya...
Kuna habari za chini ya kapeti kwamba watajipanga kwenye uenyekiti kwenye uchanguzi ndani ya chama 2022 ili waweze kupambana naye vizuri vizuri panapo 2025.
Historia inatuambia kuna watu...
Wakuu heshima mbele,
Kesho Dr Ngongo ataongoza mashambulizi ya nguvu kama yale makombora Himar na kumsambaratisha Dr Bashiru.
Dr Bashiru ni mjinga sana haoni Mama anavyoupiga mwingi huduma za...
Wakati Disemba 9, 2022 ni maadhimisho ya miaka 61 ya uhuru, Baraza la wanawake wa Chadema (Bawacha) limetaka mikutano ya hadhara iruhusiwe ili kuvipa uhuru vyama kufanya siasa.
Mbali na mikutano...
Jarida la Forbes la nchini Marekani limemtaja kwa mara ya pili Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa miongoni mwa wanawake 100 duniani wenye nguvu na ushawishi zaidi akishika nafasi ya 95. Uchapakazi...
Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo
Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi...
Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali itawachukulia hatua kali wale wanaotoa taarifa potofu kuhusu mabehewa mapya ya TRC.
Msigwa amesema mabehewa ya TRC ni mapya.
Chanzo: Star...
Kama ni Mwanadamu mbele ya Kioo, basi JK ni Kioo Cha Samia na Samia ndio JK linapokuja suala Zima la kiutendaji na Kiuongozi.
Safari za nje ,hivi Kuna Nchi JK hakwenda ? Ila Sasa Safari zao wote...
Ndg: wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa, nashauri Msiwachague wagombea wa NEC ambao wanatumikia nafasi za Ubunge au Uwaziri. Ieleweke kwamba Mbunge wa Ccm! tayari ni Mjumbe wa vikao vifuatavyo...
Mzee Makamba amesema hana tatizo na uratibu wa kurejeshwa Kofia 2 kwa sababu kuna Watu Wana umuhimu wa ziada katika maeneo mbalimbali
Mzee Makamba amesema mtu anaweza kutumbuliwa Kwenye nafasi ya...
Kwa Mujibu wa Katiba ya Tanzania, Waziri wa Sheria ndiye Mshauri wa Rais wa Masuala yote ya kisheria na mambo ya Katiba ya Nchi, hivyo basi Rais anapokengeuka na kukanyaga Katiba ya Nchi, Waziri...
Mwenyekiti Wa ulinzi na usalama Wa mkoa Wa dar es salaam! Ametangaza majina ya watuhumiwa kukutana nao ijumaa saa tano Kwa utaratibu maalum ambao yeye na timu yake wameuandaa;
Kitendo cha Manji...
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imempitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mgombea pekee wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa mwaka 2022 hadi 2027 na jina...
Ijumaa Desemba 2, 2022, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lilitoa taarifa ya jitihada za muda mfupi zilizokamilika pamoja na zinazoendelea kufanyika katika kukabiliana na upungutu wa umeme.
Leo...
Nakumbuka enzi za chama kimoja tulikuwa tunaletewa majina mawili ya wagombea Ubunge tukitakiwa kumchagua mmoja, lakini kwa uchaguzi wa Rais jina lilikuwa ni moja tu likiwa limepitia mchujo mkali...
Dkt. Kigwangalla amesema amekubaliana na Serikali kwamba yale mabehewa ni Mapya ila bado hajajibiwa hoja moja ya thamani halisi ya mabehewa hayo
Dkt. Kigwangalla amesema anayestahili Sifa kwa...