Jamani kuna halmashauri,majiji pesa za serikali zinapigwa si kitoto,wakubwa nao wapigaji huku chini itakuwaje jamani?
Nimeita halmashauri moja kanda ya kusini nikasajili kikundi cha wakulima...
Magari ya mizigo yote yanayotoka Dar kwenda mikoani huwa yanarudi tupu, maana yake hatuna sisi cha kupeleka bandarini.
Sana sana labda wabebe matenga ya nyanya na magunia ya viazi kupeleka sokoni...
TRC wanajichanganya sana, na pengine mwisho wa siku Masanja Kadogosa itabidi afungwe jiwe shingoni na kutupwa chini ya treni, lakini TRC wangesema waziwazi kuwa pesa zilizozidi kwenye bei ya...
Nilimsikiliza Rais Dkt. Samia akigusia suala la behewa zetu used akisema, zimeagizwa ili zianze kutumika kabla ya zile mpya na nzuri na zenye gharama kubwa kuja, na ambapo amesema zitakuja mwaka...
Taarifa zilizopatikana mpaka muda huu nabandika hii habari hapa jukwaani ni kuwa serikali inatarajia kununua mabehewa na engine kadhaa kwa ajili kuanza kutumika kwenye kipande cha Dar - Moro...
Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, imempitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea uenyeki wa CCM katika uchaguzi wa Chama utakaofanyika Desemba 7, mwaka huu jijini Dodoma.
Akizungumza...
NB: Ya Magufuli ni yake Samia.
====
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza TZS milioni 960 ambazo zilitengwa katika bajeti kwa ajili ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru...
Video ya Rais William Ruto akiongea na wakenya waishio ughaibuni (diaspora) siku za karibuni, imejaa kila aina ya somo jema kwa uhai wa miaka mingi wa Tanzania yetu.
Ruto kawa muwazi kwa wakenya...
Hakika kuna za chini ya kapeti kuwa wajumbe wengi wanakasirishwa na utendaji na tabia za hawa vijana wa Samia wanaowania nafasi zile 15 za kapu ndani ya Halmashauri Kuu na wameahidi kuwafundisha...
Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education) - GPE) ameshiriki katika Mkutano wa Mageuzi...
Ndani ya CCM kumeibuka tabia ya baadhi ya wanachama kujiona wana nguvu sawa au kuliko Chama. Tuliona hivyo mwaka 2015 wakati Lowassa alipokatwa CCM kwamba CCM ikatike naye. Haiwezekani chungu...
Hamisi Kingwangala (Mb), Nzega Vijini, amekuwa akitoa maneno yenye nia ya kuchonganisha kuhusu mabehewa yaliyonunuliwa katika ukurasa wake wa tweeter.
Kwa nafasi yake anapowauliza Watanzania kama...
Yaani inakuajekuaje mtu unaahirisha Sherehe za Uhuru? Uhuru? UHURU?
Sababu kubwa? Pesa ziende kwenye MAENDELEO?
Yaan Mnaacha mafisadi yanajipigia, Mnajipa masafari Kila kukicha, Mnajipa matumizi...
Wasalaam,
Viongozi wetu wakuu wanapoteua vijana ambao pengine hawana uzoefu wala ujuzi mkubwa sio kwamba tunastahili sana ila ni kwa sababu tunatengenezwa mazingira ya kuaminiwa kwa nafasi za juu...
Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education (GPE) ameongoza Vikao vya...
Kidumu Chama cha mapinduzi,
Pongezi na hongera kwa kila mmoja aliyefanikisha uchaguzi wa Chama na jumuiya kwa ngazi zote. Mmefanikisha kuitekeleza demokrasia kwa vitendo.
Kesho tarehe 07/12/2022...
Nayaandika haya kwa masikitiko makubwa sana.
Nimepoteza vibarua vyangu vyote viwili sababu kubwa ikiwa ni TANESCO.
Nilikuwa na kazi mbili, zote nikiwa kama Virtual Assistant wa kampuni mbili za...
Huku tunapumbazwa na hukumu ya Assad isiyo na Tija na iliyopitwa na wakati.
Kumbe yoote ni ili kuingiza mitambo ya "Richmond" mpya kinyerezi/Tanesco.!
Hii ilipitishwa na kikao gani cha bunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.