Mzee Makamba: Kofia 2 ni muhimu sana kwa sababu mtu akitumbuliwa Uwaziri anabakia Kwenye Chama kama Mnec kutoa utaalamu wake!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,022
142,062
Mzee Makamba amesema hana tatizo na uratibu wa kurejeshwa Kofia 2 kwa sababu kuna Watu Wana umuhimu wa ziada katika maeneo mbalimbali

Mzee Makamba amesema mtu anaweza kutumbuliwa Kwenye nafasi ya Uwaziri lakini kutukana na potential yake Chama kitauhitaji utaalamu wake

Mafanikio ya CCM ni makubwa ndio sababu Huduma za kijamii kama Umeme na Maji zimeimarika hata kama Siyo kwa 100% kwani hata nyumbani kwako hauwezi kukamilisha kila Kitu, amesisitiza Karibu mkuu mstaafu wa CCM

Chanzo: Ayo tv
 
Pale mnapojadili kuhusu vita ya Tanzania na Marekan wakati mkijua haitakaa itokee! Inaitwa Sakayosa
 
Mzee Makamba amesema hana tatizo na uratibu wa kurejeshwa Kofia 2 kwa sababu kuna Watu Wana umuhimu wa ziada katika maeneo mbalimbali

Mzee Makamba amesema mtu anaweza kutumbuliwa Kwenye nafasi ya Uwaziri lakini kutukana na potential yake Chama kitauhitaji utaalamu wake

Mafanikio ya CCM ni makubwa ndio sababu Huduma za kijamii kama Umeme na Maji zimeimarika hata kama Siyo kwa 100% kwani hata nyumbani kwako hauwezi kukamilisha kila Kitu, amesisitiza Karibu mkuu mstaafu wa CCM

Chanzo: Ayo tv
Vizee vipumbavu kama hivi ni vya kuwekea sumu ya panya vijifie huko.
 
Mzee Makamba amesema hana tatizo na uratibu wa kurejeshwa Kofia 2 kwa sababu kuna Watu Wana umuhimu wa ziada katika maeneo mbalimbali

Mzee Makamba amesema mtu anaweza kutumbuliwa Kwenye nafasi ya Uwaziri lakini kutukana na potential yake Chama kitauhitaji utaalamu wake

Mafanikio ya CCM ni makubwa ndio sababu Huduma za kijamii kama Umeme na Maji zimeimarika hata kama Siyo kwa 100% kwani hata nyumbani kwako hauwezi kukamilisha kila Kitu, amesisitiza Karibu mkuu mstaafu wa CCM

Chanzo: Ayo tv
Huyu mzee bure kabisa..ashauriwe akae kimya tu...
 
Back
Top Bottom