Manji kuwasili polisi nje ya utaratibu ni ukaidi; ajiandae kulala sero

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,524
21,998
Mwenyekiti Wa ulinzi na usalama Wa mkoa Wa dar es salaam! Ametangaza majina ya watuhumiwa kukutana nao ijumaa saa tano Kwa utaratibu maalum ambao yeye na timu yake wameuandaa;

Kitendo cha Manji kukaidi Kwa kujipangia mwenyewe mda Wa kufika kituo atambue kwamba ni dhalau kubwa anayotaka kulionyesha jeshi la police; na Kwa ukaidi huo kitakachofanyika ni kumhifadhi sero hadi siku ya ijumaa SAA tano kama ilivyopangwa,!

Ukaidi si kuchelewa au kutokuja tu Bali hata kufika nje ya mda uliopangiwa ni ukaidi mkubwa! Manji akithubutu kujipeleka kesho basi atambue kwamba anawahi kwenda kulala sero hadi ijumaa atakaposikilizwa;
Utii Wa sheria bila shuruti ni wetu sote
 
Mwenyekiti Wa ulinzi na usalama Wa mkoa Wa dar es salaam! Ametangaza majina ya watuhumiwa kukutana nao ijumaa saa tano Kwa utaratibu maalum ambao yeye na timu yake wameuandaa;
Kitendo cha Manji kukaidi Kwa kujipangia mwenyewe mda Wa kufika kituo atambue kwamba ni dhalau kubwa anayotaka kulionyesha jeshi la police; na Kwa ukaidi huo kitakachofanyika ni kumhifadhi sero hadi siku ya ijumaa SAA tano kama ilivyopangwa,!
Ukaidi si kuchelewa au kutokuja tu Bali hata kufika nje ya mda uliopangiwa ni ukaidi mkubwa!
Manji akithubutu kujipeleka kesho basi atambue kwamba anawahi kwenda kulala sero hadi ijumaa atakaposikilizwa;
Utii Wa sheria bila shuruti ni wetu sote
Kwani hayo maagizo yametolewa na Police?
 
Masikini ni masikini tu, na mtu ambae hajaelimika hajaelimika tu.

Hivi unadhani manji ni kama wewe au kama akina TID na Wema sepetu ambao wamewekwa ndani?

Tumia akili kutafakari Mkuu!
Ngoja tuone.....
 
Back
Top Bottom