CHADEMA hamna weledi Mdee na Bulaya hata wakianzisha chama chao wanapita ubunge

CHADEMA mnadanganywa Sana.
Na hakika mnadanganywa.

Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee.

Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge.

Poleni,

life is hard, byee.
Halima pole sana ( Maana wewe ni mzee Halima kwa id fake) ,, kibuli hakijengi, ya nini ulitaka ninyi Covid-19 mbembelezwe pamoja na jeuri mliyoionesha kwenye chama ambacho kimsingi kiliwaweka town!

Pole sana Halima,, kuna maisha baada ya ubunge, acha masikitiko na makasiriko maana mwana kulipewa ni yule mwana kulitafuta
 
CHADEMA mnadanganywa Sana.
Na hakika mnadanganywa.

Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee.

Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge.

Poleni,

life is hard, byee.
Nyie mbona mmewatoa kwenye uwaziri akina Kalemani? Si mlikuwa mnasemaga ni waziri makini na mkawaaminisha watanzania hivyo?
 
Nguvu waliyokuwa nayo na kuwa na wafuasi wengi ilitokana na nguvu ya CHADEMA, tofauti na hapo hakuna hata mtu ana shobo nao
Unapokuwa Kiongozi unatakiwa Kuonyesha uongozi na Sio tamaa ya pesa!! Kama wao wanajiona ni vidume wakasimame mahali waanzishe mkutano WA kisiasa waone kama watapata wafuasi!!!! Ni muhimu sana kuheshimu taasisi inayokubeba, na Sio kujiona wewe ni WA Muhimu kuliko taasisi
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom