Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,502
- 4,408
Kuna habari za chini ya kapeti kwamba watajipanga kwenye uenyekiti kwenye uchanguzi ndani ya chama 2022 ili waweze kupambana naye vizuri vizuri panapo 2025.
Historia inatuambia kuna watu walijaribu kutaka kufanya hivyo 2012 kwa kutaka kupiga kura za maruhani kwa mgombea uenyekiti lakini walishindwa na akafanikiwa kulinda kiti chake.
Tofauti na miaka ya nyuma ambayo joto la uchaguzi mkuu linaanza kuonekana mwaka mmoja kabla ya uchaguzi hali hiyo imekuwa tofauti na wanachofanya ni kutengeneza mizizi.
Iwe mvua liwe jua, utamaduni huu wa Rais kuwa mwenyekiti utadumishwa kama miaka ya nyuma. Hakuna atakayefanikiwa jaribio hilo
Moja ya wosia muhimu wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni kutotenganisha kofia hizo mbili kwa manufaa ya chama, serikali na nchi.