Jarida la Forbes la nchini Marekani limemtaja kwa mara ya pili Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa miongoni mwa wanawake 100 duniani wenye nguvu na ushawishi zaidi akishika nafasi ya 95. Uchapakazi na uongozi wenye kuleta maendeleo endelevu vimempa heshima hiyo.
Rais Samia Suluhu anaendelea kuushangaza ulimwengu kwa utendaji wake kazi na kufanya mapinduzi makubwa ya maendeleo ndani ya Tanzania ndani ya siku 627 amefanya maendeleo makubwa sana katika sekta mbalimbali zinazomlenga mwananchi kama vile uboreshwaji miundombinu, Elimu, Afya pia amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuweka usawa wa kijinsia.
lakini kubwa zaidi Rais Samia Suluhu amefanikiwa kupambana na adui mkubwa wa mtanzania umasini kwa kutoa fursa mbalimbali za ajira kutoka katika miradi inayotekelezwa nchini na kutoa mikopo ya masharti nafuu kwa vijana, watu wenye ulemavu na wanawake.