Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, msiwapigie kura wagombea ambao ni Wabunge au Mawaziri

Unavoidable Servant

JF-Expert Member
Oct 13, 2021
1,288
3,278
Ndg: wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa, nashauri Msiwachague wagombea wa NEC ambao wanatumikia nafasi za Ubunge au Uwaziri. Ieleweke kwamba Mbunge wa Ccm! tayari ni Mjumbe wa vikao vifuatavyo.

1. Mkutano mkuu wa ccm kata anayoishi.
2. H/maushari kuu ya CCM wilaya.
3. Kamati ya Siasa wilaya.
4. Mkutano mkuu wilaya.
5. Balaza la madiwani.
6. H/amashauri kuu CCM mkoa.
7. Mkutano mkuu ccm Mkoa.
8. Bodi ya Barabara Mkoa.
9. Mjumbe wa DCC wilaya
10. Mjumbe wa RCC Mkoa.
11. Kamati za Bunge.
12. Mkutano mkuu wa CCM Taifa.

Kwa mujibu wa mchanganuo huo vikao vingi kwa ngazi hizo wabunge wamekuwa wakishindwa kuhudhuria, sasa mbunge huyohuyo anapoamua kuchukua fomu ya kuomba ujumbe wa NEC ni tamaa ya vyeo na kutokumini kwamba CCM ina hazina kubwa ya wagombea makada wenye sifa za uongozi ndani ya chama na nje ya chama. wajibu wa wapiga kura ni kuwakumbusha watu hao kwa kuwanyima kura. Ili wakatumikie vyema nafasi walizonazo.

Nawasilisha.✍️

Cc: Pascal Mayalla
 
Haikuepo haja ya wabunge na mawaziri kugombea hiyo nafasi na sio afya kwa chama
 
Hivi siyo wewe kutwa kutukana humu au nimekufananisha
Wewe unapotoa lugha za kashfa kwa Chadema na wanachadema unategemea tukuchekee ? Ukileta hoja yenye mashiko tunajadili lakini wewe akili yako inakutuma kuikashifu Chadema tu kwa vile kuna wajinga walipata teuzi zile enzi za giza kwa kuitukana Chadema basi na wewe unajielekeza huko tu.
 
Back
Top Bottom