Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Niko Zanzibar kutafuta namna ya kuufanya mkono uende kinywani. Katika stori mbili tatu mwenyeji wangu kagusia kuwa Shaka ni mpwa wa rais Samia. Nimestushwa sana na hiyo kitu ambayo mwenyeji wangu...
16 Reactions
79 Replies
7K Views
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila ameeleza bayana kuwa tatizo la kukatika kwa umeme kwa Mkoa wa Simiyu kumesababisha mwekezaji wa Kiwanda cha nguo kinachotumia malighafi ya pamba kushindwa...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Baada ya Mwenyekiti wa CCM Kagera mh Karamagi kutoa salaam za mkoa Alimpa mic mNEC ili aelezee Changamoto za mkoa Mnec akasema " mh Rais Samia sisi wenyeji wa Bukoba ni nshomile lakini hatuna...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa yanayoendelea kuhusui sakata hili(mchakato wa manunuzi), ni vema ikaundwa Tume Huru kuchunguza mchakato mzima ulivyofanyika. Watanzania tunataka kujua kama sheria husika zilifuata na kama bei...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Nijuavyo alikuwa ni mtumishi wa umma huko Zanzibar. Sasa hayo manguo ya kijani vipi tena leo?
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu,Huwezi ukazikwepa kuzisikia habari za CCM,huwezi ukajipa upofu wa kutokuona ukubwa na mizizi ya cccm hapa nchini,huwezi ukazuia habari za CCM...
2 Reactions
67 Replies
3K Views
Hii ni kweli kabisa wala hakuna haja ya kubishana na mafisadi fulani hivi ambao wanajifanya watetezi wa watu kumbe ndiyo wezi wakubwa wa taifa hili. Anyway lengo langu siyo hilo. Hayati Magufuli...
17 Reactions
36 Replies
2K Views
Siku 16 za Kupinga Ukatili; Tujifunze, Tupambane na Tushikamane Ukatili Bado Upo. Utangulizi. Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ambazo huanzia tarehe 25 Novemba hadi tarehe 10 Disemba 2022...
1 Reactions
0 Replies
598 Views
TANZANIA CHAMA NI KIMOJA TU CCM
17 Reactions
102 Replies
7K Views
"Ikumbukwe kuwa CCM inatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na vyama vingine hivyo, katiba sheria na kanuni lazima zifatwe.”-Rais Dkt. Samia Suluhu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Najiuliza tu maana kama sisi watu wa nje tunaona RAIS WETU anachezewa. Wanamrai rai ilo wanufaike kupitia yeye, sio kwamba ni kweli wanampenda na kwamba yale wanayomsifia ni kweli yupo nayo. Ina...
2 Reactions
11 Replies
902 Views
Kama huna maslahi ya moja kwa moja, kama kupata uongozi au posho za uchawa acha mara moja ushabiki wa siasa na kushabikia wanasiasa zama hizi. Ushabiki wa siasa itakufanya usione mabaya ya chama...
5 Reactions
5 Replies
622 Views
Jibu rahisi ni kwamba balance of payment haijakaa vizuri,tunachopeleka nje kina thamani ndogo kuliko tunachoingiza nchini kutoka nje,hivyo tunatoa dola (foreign currency) nyingi kuliko...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa haraka nimewaona Mzee Wasira, Waziri Bashungwa, Chacha Mwita Wambura, Askofu Gwajima,Dr Musukuma, Dr Mabula nk nk Hakika Mmetisha ila sisi Iringa tumetoa Namba 1 Mzee wa Nguzo na Namba 6...
3 Reactions
50 Replies
6K Views
Salaam Wakuu, Dada wa Taifa Dr. Fenera Mkangara kaifanyia Makubwa Tanzania, sio Vizuri kumuacha anahangaika Mtaani. Ni Mwana CCM asiye yumba. Kama kamkosea Rais Samia naomuombea Msamaha. Bado...
6 Reactions
72 Replies
9K Views
Halima Mdee akihojiwa na DW asema tumeamua upinzani kuungana mapema na sio very late kama ilivyokuwa tukiungana hapo awali ili kupambana na nguvu za nje. See Video
4 Reactions
36 Replies
5K Views
Baba Mwita ameandika kupitia mtandao wa Twitter kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akistaafu hupatiwa mafao kwa kiwango hiki. Rais wetu anapostaafu atapata mafao yafuatayo: 1. Fedha...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye amefika Ikulu jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuomba msamaha. Ameomba msamaha na kusamehewa kosa aliliofanya miezi michache iliyopita. Akizungumza akiwa nje ya...
28 Reactions
836 Replies
91K Views
Mwenyekiti wa CCM mh Rais Samia amesema ili kuongeza wigo wamependekeza Idadi ya Wajumbe wa Halmashauri kuu wanaopigiwa kura na mkutano mkuu iongezeke Kutoka 15 Bara na 15 Zanzibar na sasa wawe 20...
1 Reactions
71 Replies
5K Views
Kwa common sense ya kawaida kabisa ukitazama hii picha unapata jibu. watu milion 2 wanawakilishwa na watu 20 na watu milioni 58 nao wanawakilishwa na watu 20.
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom