Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yaani, mambo mengine unashindwa ucheke au ukae kimya. Angalia umri na majukumu, na hadhi, halafu anaenda club ku-rap. Maneno haya aliyasema akifanya intavyuu na Dar24 Nadhani hawa viongozi wawe...
8 Reactions
55 Replies
4K Views
URAIAPACHA NI SERA YA CHADEMA. Inasemekana Uongozi wa juu wa CHADEMA ni raia wa Marekani, akiwamo Mwenyekiti na Makamu, moja kwa moja au kupitia kwa mke na watoto. Uraia pacha ni nini? Ili uwe...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Ndio hivyo, 2023 Itakua ngumu sana kwa wanazi wa CCM! Kuna ambao watakubali kubadilika Ili waendelee kula, Kuna kundi litaibuka kimya kimya likijiandaa kuweka mizizi, Kuna Viongozi wa CCM...
15 Reactions
37 Replies
3K Views
Waziri wa Fedha Dr Sada Mkuya amesema Mamlaka ya Mapato Zanzibar inaanzishwa kuchukua Majukumu ya Bodi ya Mapato iliyopo sasa Kinachosubiriwa ni mswada kusainiwa Kuwa Sheria ili ZRA ianze rasmi...
7 Reactions
166 Replies
10K Views
Wanabodi, Mfumo wa vyama vingi ulianzishwa Tanzania kwa madhumuni ya kuruhusu vyama mbadala kushiriki katika kila chaguzi na kuenzi suala zima la demokrasia kwa kuwa wezesha wananchi kuchagua...
0 Reactions
29 Replies
1K Views
Mwalimu Julius Nyerere alisema kuwa mpinzani wa kweli ni lazima atokee ndani ya CCM, Je maono ya Mwalimu yalimlenga Hayati Rais John Pombe Magufuli, kwa namna anavyochukuliwa sasa hivi ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Alichosema binafsi sikukisikia redioni, bali kwa kukisoma twitter hasa page za wanaharakati, na media aina ya Zama mpya. Kama waliokubaliana na aliyosema walikuwa wapinzani wa twitter...
5 Reactions
12 Replies
866 Views
Picha ya Rais Samia Suuhu Hassan akihutubia Taifa usiku wa 31 Desemba 2021 Mheshmwa Rais Samia Suluhu Hassan, Hotuba yako kwa Taifa wakati tunauaga mwaka 2021 na kuingia mwaka Mpya wa 2022...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya Mahakama Kuu kutoa hukumu yake na kubaini kuwa Prof. Assad aliondolewa katika nafasi yake ya CAG kimakosa, kwamba Katiba ilivunjwa, viongozi katika maeneo mbalimbali ya serikali...
23 Reactions
221 Replies
14K Views
Rais mstaafu mzee Kikwete leo amesherehekea Sherehe za kufungua Mwaka 2022 na kuukaribisha 2023 akiwa na Wananchi wenzake wa Msoga. Kikwete amesema ni kawaida yao tangu akiwa Rais kufanya Sherehe...
13 Reactions
42 Replies
4K Views
Waarabu wanaua mbuga zetu kwa kasi sasa hivi mtu akiwa zake mapumziko Dubai hana haja ya kuja Tz anaenda zake Sharjah safari park anaona wanyama wote waliopo hapa Pia jamaa wameamua pia majina ya...
15 Reactions
119 Replies
9K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda akiwa msibani Karimjee Hall amesema hajawai kuona mchaga anasaidia yatima na walemavu isipokuwa Marehemu mzee Mengi. Amesisitiza Mengi ndo alikuwa mchaga bora.
6 Reactions
337 Replies
39K Views
Mh Rais, nakusalimia kwa jina la JMT. Nimeguswa sana moyoni mwangu na jambo jema, la kiungwana la kiutu na la kibinadamu uliloamua litekelezwe. Jambo lenyewe ni lile la kuwarejeshea makato yao...
10 Reactions
124 Replies
6K Views
Habari wakuu JF! Iko hivi; Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu atakayepinga kuwa katika awamu ya sita kumefanyika ujenzi wa shule, hospitali, zahanati, vituo vya afya miundombinu ya hali ya...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa kutoka Mwanza, Kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema ) kwenye majimbo ya Ilemela na Nyamagana kinafanya Mkutano Mkuu kwenye Majimbo, Mkutano huu ni kwa...
12 Reactions
64 Replies
5K Views
Salamu za mwaka mpya 2023 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa watanzania wote. Amemshukuru Mungu mtukufu, mkarimu na mwingi wa rehema kwa kuiona siku ya leo...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba niwape ushauri wale wote wafanyabiashara hasa ambao wana biashara mpya kuhusu maswala ya kodi. Watu wengi wameshangaa kuona Diamond wa wasafi media ana lalamikia TRA hili ni swala la...
14 Reactions
19 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Hakika Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia na kuitunza Sana,Rais Samia Ni kiongozi Aliyejitoa na kujitolea kututumikia watanzania, Amedhamiria kuibadilisha na...
3 Reactions
87 Replies
3K Views
Wanabodi, Ijumaa ndio hii imeanza, hivyo tuswich kwenye the weekend mood, tusijadili mambo mazito mazito siku za weekend, tujadili vitu light, with a light touch, tuenjoy week end yetu vizuri...
32 Reactions
246 Replies
27K Views
Nimejikuta tu nikiyaamini zaidi Maridhiano ya CHADEMA na CCM kuliko Kikosi Kazi cha Prof. Mkandalla na Zitto Kabwe. Nadhani Wajumbe wa Maridhiano wanaonekana kuwa Watu makini zaidi tofauti na...
2 Reactions
6 Replies
754 Views
Back
Top Bottom