Uraia pacha ni sera ya CHADEMA

Uraia pacha ni sera ya CHADEMA

LGF

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2020
Posts
1,406
Reaction score
791
URAIAPACHA NI SERA YA CHADEMA. Inasemekana Uongozi wa juu wa CHADEMA ni raia wa Marekani, akiwamo Mwenyekiti na Makamu, moja kwa moja au kupitia kwa mke na watoto. Uraia pacha ni nini?

Ili uwe Raia wa Marekani kuna Ibada lazima ifanyike inaitwa OATH. Kwa jinsi ilivyokaa, OATH hairuhusu uraiapacha kwa vile inakutaka uikane Tanzania kabisa kabisa.

Soma mwenyewe:

The Oath of Allegiance to the United States is a sworn declaration that every citizenship applicant must recite during a formal ceremony in order to become a naturalized American citizen. The Oath ceremony is a tradition dating back to the 18th century.

Oath

"I hereby declare, on oath, that I absolutely and entirely renounce and abjure all allegiance and fidelity to any foreign prince, potentate, state, or sovereignty, of whom or which I have heretofore been a subject or citizen; that I will support and defend the Constitution and laws of the United States of America against all enemies, foreign and domestic; that I will bear true faith and allegiance to the same; that I will bear arms on behalf of the United States when required by the law; that I will perform noncombatant service in the Armed Forces of the United States when required by the law; that I will perform work of national importance under civilian direction when required by the law; and that I take this obligation freely, without any mental reservation or purpose of evasion; so help me God."
 
In practical terms, what does this mean? Ni hatari. Mwaka 1972 Jeshi la Israel lilivamia uwanjazwa ndege wa Entebbe kuokoa raia zake waliokuwa wametekwa na PLO. Ni jambo jema, lakini Jeshi la Israeli lilisaidiwa na raiapacha waliokuwa wanaishi Uganda, yaani Raia wa Uganda.

Mwaka 1991 George Bush alivamia Iraq, akateketeza TANESCO yao yote kabla ya kuvamia. Inasemekana kazi ya kuongoza mashambulizi ilifanikishwa na diaspora, raiapacha wa Marekani.

Vita vyote duniani, na maasi, mapinduzi, uhujumu, kukamatwa mali, kutoa aunkufichwa ushahidi, hufanywa na diaspora raiapacha. CHADEMA wana lengo gani hapa hasa hasa?
 
Ndio umeandika nini?

Weka ushahidi hapa kuwa Lisu, Mbowe na wengine kuwa sio raia wa Tanzania ni Raia wa Marekani na nchi zingine zilizo endelea

Mama aliwahi kusema alipo kwenda Ulaya au marekani kama sijakosea kwa dhiala mbalimbali nazani Ilikuwa Ubeligji, alikili kuwa nae ana watoto wanaishi uingereza...

Hivyo kama ni uraia pacha basi angefanya haraka kwa ajili ya watoto wake...! Na wapo viongozi wengi sana watoto wao wamesha ukana utanzania na wengine bado wana utanzania wao, hivyo sio Lisu na mbowe ndio wata kuwa wa kwanza na wa mwisho...!
 
In practical terms, what does this mean? Ni hatari. Mwaka 1972 Jeshi la Israel lilivamia uwanjazwa ndege wa Entebbe kuokoa raia zake waliokuwa wametekwa na PLO. Ni jambo jema, lakini Jeshi la Israeli lilisaidiwa na raiapacha waliokuwa wanaishi Uganda, yaani Raia wa Uganda.

Mwaka 1991 George Bush alivamia Iraq, akateketeza TANESCO yao yote kabla ya kuvamia. Inasemekana kazi ya kuongoza mashambulizi ilifanikishwa na diaspora, raiapacha wa Marekani.

Vita vyote duniani, na maasi, mapinduzi, uhujumu, kukamatwa mali, kutoa aunkufichwa ushahidi, hufanywa na diaspora raiapacha. CHADEMA wana lengo gani hapa hasa hasa?
propaganda za kipumbavu hazitawasaidia subirin 2025 ndio mtatujua vizuri na ujinga wenu wa lumumba.
 
In practical terms, what does this mean? Ni hatari. Mwaka 1972 Jeshi la Israel lilivamia uwanjazwa ndege wa Entebbe kuokoa raia zake waliokuwa wametekwa na PLO. Ni jambo jema, lakini Jeshi la Israeli lilisaidiwa na raiapacha waliokuwa wanaishi Uganda, yaani Raia wa Uganda.
Acha uongo Mkuu. Huoni aibu? Mwaka 1972 wakati wa Idd Amin Uganda ilikuwa na utaratibu wa raia pacha? Uganda imeanza lini sera ya raia pacha? Inaonekana hujui hata maana ya raia pacha.

Na uongo wako mwingine ni kusema Israel kwenye operation ya Uganda walisaidiwa na watu wa ndani ya Uganda. Walisaidiwa kitu gani? Mpango wote ulifanywa ndani ya Israel na nje ya jeshi kikubwa ni kuchukua ramani ya uwanja wa Entebe kwa kuwa kampuni iliyojenga ilikuwa ya Israel. Kama kuna mtu aliwasaidia Israel ni Idd Amin mwenyewe, walikuwa wanajifanya wanaongea nae ku-negotiate kumbe wanamdadisi habari za ki-intelijensia akamawa anawapa bila kujua
 
kuna ndugu yako ni raia wa nchi fulani na anakopesheka ila anataka kuwekeza nchi yako kama mzawa.unataka habaki huko
 
Viongozi wa juu wote familia zao ni wamarekani. Unadhani hii sera wataiacha? Watoto wao wakija kurithi ardhi, sheria inazuia, kwa hiyo wanapambana ili wamarekani wao waje waibebe ardhi ya Tanzania, ukoloni uanze tena upya
 
Ndugu "yangu" hawezi kuwa raia wa nchi "fulani" fafanua. Kama kweli ni ndugu yangu na ninakufa na njaa kwa nini asinisaidie? Masharti ya nini kw?nduguyaji? Mbona mapadri wazungu kwa bure tu walitusomesha na kutupa neno la Mungu kwani ni ndugu zetu?
 
Viongozi wa juu wote familia zao ni wamarekani. Unadhani hii sera wataiacha? Watoto wao wakija kurithi ardhi, sheria inazuia, kwa hiyo wanapambana ili wamarekani wao waje waibebe ardhi ya Tanzania, ukoloni uanze tena upya
Kesho ikizika vita kati yetuna Marekani hawa watatusaliti.
 
Tanzania hairuhusu Raia Pacha hivyo ukisema Lissu ni Rais pacha moja kwa moja unamaanisha Lissu sio mtanzania...
Wakati huo huo unaitukana Tume ya Taifa ya uchaguzi na Serikali kwa ujumla kumpitisha Lissu awe mgombea kupitia chama cha CHADEMA mwaka 2020 kuwa mgombea urais lissu Hakuwa mtanzania hivyo serikali haijui majukumu yake na security ya TANZANIA NI ISIYOJIELEWA (ACHA HAYO MANENO KABISA) Hakuna serkli inayoweza kuruhusu uvubjwaji wa sheria CIAO
 
Of course. Si unakumbuka ili ndege yetu ilikamatwa Canada baada yactundulissu kuiba nyaraka za mahakama akazivujisha huku akidai ni siri yake na mabeberu? Na zittokabwe akazuia mkopo wa WB ili kwanza turuhusu mimba darasani?
 
Back
Top Bottom