Kumekuchaa! Heri ya Mwaka Mpya 2023.
Siku zinazidi kusonga mbele huku joto la kisiasa likizidi kupaa.
Za chini chini zinasema hivi kuna makundi matatu yanayoenda kutifuana huko mbele 2025.
A...
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema katika awamu ya 5 chini ya Hayati Dk John Pombe Magufuli waliamua liwalo na liwe ila Bwawa la Nyerere lijengwe licha ya hujuma kubwa zilizofanyika na baadhi ya...
Mwaka 2022 umeisha, tulitegemea utoa Salam za Mwaka Mpya kwa wapenzi na mashabiki wako. Ila umekuwa kimya kama haupo kwenye sayari yetu. Nakuombea kwa Mungu upate nauli urudi Tanzania ushikamane...
" ....kama unakopesheka Kopa hiyo ni advantage ambayo wengine hawana itumie kujiletea Maendeleo ya haraka" haya ni maneno ya Profesa Arora aliyekuwa mhadhiri wa Chuo cha Fedha ( IFM)
Hata Shujaa...
Wadau nawasalimu.
Ukiwa Kiongozi kitu pekee unachopaswa kuwafanyia Watu wako ni kile ambacho walikitafuta kwa muda mrefu kupitia Viongozi mbalimbali lakini walishindwa kukipata.Kwa Mfano RAIS...
Heri ya Mwaka Mpya wana JF nyote.
Nimekutana na picha ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA bw. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia lakini baada ya kuiangalia sana nimeona kwenye mandhari ya...
Kuna wakati ilitafsiriwa kuwa mikopo ni pesa zetu wenyewe za ndani kwa sababu tutalipa,
Ilikuwa ni jambo lisilotakiwa kusema tunajenga miradi kwa mikopo!
Kutokubaliana na mikopo limeendelea kuwa...
Tanzania tuna kila kitu, kuanzia watu wenye bidii, akili, ujuzi na nidhamu mpaka ardhi na mali asilia za pekee.
Tukiwa hapa nyumbani Tanzania, Watanzania wanaonekana ni watu goi goi, wapiga...
Wanabodi,
Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la...
Wadau hamjamboni nyote na kheri ya mwaka mpya
Nafurahia kuwajulisha tumepokea salaam za upendo za mwaka mpya 2023 kutokea Kwa Mwenyekiti wetu wa CCM TAIFA Mhesh Samia Suluhu Hassan
Salaam hizi...
Rais Samia pamoja na marais waliomtangulia: Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete
MIAKA 10 ijayo, hadi kufikia mwaka 2033, Tanzania itakuwepo. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hatakuwa madarakani, huku...
Hivi Mradi wa BRT una msimamizi kweli?
Vipande vya
Magomeni - Ilala Boma.
Ilala Boma - Chang'ombe.
Chang'ombe - Mgulani.
TRL - Badari.
Bandari - Uhasibu.
Uhasibu - Kwa Aziz Aly.
Kwa Aziz Aly -...
Habari wana jf.
Leo nataka niseme kuwa huyu bwana anaitwa bongozozo kuna jambo analifanya na linaonekana na mwelekeo mzuri. Katika video zake nyingi kila anapopata nafasi nzuri huwa anaitangaza...
Kudos wanajamvi.
Legendary wa mziki na Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" amewataka watu maarufu na Wananchi kwa ujumla kulipa Kodi.
Sugu amenukukiwa akisema watu waache...
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba huko Mkoani Kilimanjaro , Jimbo la Hai kwenye Kijiji ambacho anatokea Mh Mbowe , leo kumefanyika hafla ndogo ya kuuaga mwaka 2022 na kuukaribisha mwaka 2023 , ambako...
Mzee Shirima amemshukuru hayati Magufuli kwa kuwaletea treni ya abiria na kuimarisha mtandao wa barabara za lami katika mkoa mzima wa Kilimanjaro.
"....natamani hayati Magufuli angetujengea na...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema chama hicho kitahakikisha kinaimarisha majimbo yote ya Tanzania na Zanzibar ili kufikia dhamira ya kuiondoa CCM...
Mwaka 2023 ukawe mwaka wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya, Ukawe mwaka wa utekelezaji wa mapendekezo ya kikosi kazi cha Rais kuhusu Demokrasia nchini.
Heri ya mwaka mpya Watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.