Binafsi nayaamini Maridhiano ya CHADEMA na CCM kuliko Kikosi Kazi cha Prof. Mukandala na Zitto Kabwe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,959
141,956
Nimejikuta tu nikiyaamini zaidi Maridhiano ya CHADEMA na CCM kuliko Kikosi Kazi cha Prof. Mkandalla na Zitto Kabwe.

Nadhani Wajumbe wa Maridhiano wanaonekana kuwa Watu makini zaidi tofauti na akina Hamad Rashid.

Lakini Hata ukumbi tu yanapofanyika Maridhiano unaonesha seriousness ya Jambo linalojadiliwa.

Nawatakia Mwaka Mpya mwema!
 
Nimejikuta tu nikiyaamini zaidi Maridhiano ya Chadema na CCM kuliko Kikosi Kazi cha Prof Mkandalla na Zitto Kabwe

Nadhani Wajumbe wa Maridhiano wanaonekana kuwa Watu makini zaidi tofauti na akina Hamad Rashid

Lakini Hata ukumbi tu yanapofanyika Maridhiano unaonesha seriousness ya Jambo linalojadiliwa

Nawatakia Mwaka Mpya mwema!
Usituharibie mwaka mpya.
 
Posho za kikosi kazi si haba!
Naona Mkandala hadi kaweza kupaka rangi fensi 😀😀😀
 
Back
Top Bottom