Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanza nianze Kwa kukutakia kheri ya Mwaka Mpya Ndugu Rais, Dr Samia Suluhu Hasani. Sambamba na heri hiyo pia niendelee KUJULISHA YA KUWA Ili Leo hama Ili tukio la leo side tunaopenda kusoma...
0 Reactions
2 Replies
907 Views
Wadau Nawasabahi, Nachukua fursa hii kumwomba kwa heshima na taadhima Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Wanachadema wote kusitisha kabisa mpango wake wa kustaafu Uenyekiti wa CHADEMA kwani...
1 Reactions
10 Replies
539 Views
Mkt wa ACT wazale do ni Juma Duni Haji ambaye sasa sijui kwa mujibu wa katiba ya ACT wazalendo kama ana hadhi sawa na Wenyeviti wa vyama vingine au ana hadhi sawa na makatibu wakuu wa vyama...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi kama miongoni mwa waajiri wa watumishi na viongozi wa serikali ningependa kufahamu Rais analipa kodi kiasi gani kutokana na kipato chake kwa mwezi. Tuungane pamoja na TRA Tanzania katika...
11 Reactions
65 Replies
3K Views
Leo hii Tanzania tungekuwa tunauza gesi yetu Ulaya kwa bei ya juuu baada ya Urusi kususiwa.😭😭 Tazama hiyo ni nchi ya Qatar Kabla ya kugundua gesi mwaka 2002 uchumi wao ulikuwa dola bilioni 19...
14 Reactions
149 Replies
7K Views
Ni ushauri tu kwa Chadema kwa sababu Mbowe ameipigania Katiba mpya tangu enzi za UKAWA ni vema tumwache amalize Hili jukumu kibusara zaidi Mchakato wa Katiba mpya unahitaji hekima na Busara na...
1 Reactions
3 Replies
405 Views
Kama tujuavyo kwa sasa hatuna Viwanja vya Jangwani wala Mwembeyanga na pale Kawe ni padogo Hivyo napendekezo kwa Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika ikimpendeza mkutano wa kwanza Jijini Dar es...
3 Reactions
9 Replies
639 Views
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa Nchini Tanzania . Kwamba viongozi wa vyama vyote vya Siasa nchini Tanzania wanaombwa kufika Ikulu tarehe 03/01/2023 ili...
10 Reactions
40 Replies
3K Views
Nimesikiliza vizuri hotuba ya Rais kuhusu siasa kwa mwaka 2023 na nimeona ni wakati muafaka sasa kwa CHADEMA kuchukua ruzuku yake kutoka serikalini hata kama kiwango sio sahihi kutokana na...
4 Reactions
18 Replies
821 Views
Ni kitu cha ajabu.Wake wa maraisi watatu wote wanaitwa Janeth. Mke wa Magufuli ni Janeth Mke wa Kagame Ni Jannette Mke wa Museveni NI Janeth Maajabu ya Karne haijawahi tokea. Kama kuna mtu...
6 Reactions
95 Replies
25K Views
Habari wanajamvi. Mamlaka ya mapato Nchini TRA imetoa taarifa ikisema imekusanya Shilingi Tilioni 12.459 kwa nusu mwaka sawa na ufanisi wa Asilimia 99% ya lengo. Ikumbukwe robo ya kwanza yaani...
11 Reactions
100 Replies
5K Views
Nimeingia humu JF baada ya Hotuba ya Samia kuruhusu Mikutano ya hadhara na kuanza Mchakato wa Katiba naona thread za Samia, Freeman na Chadema zimetawala,jina la Zitto halipo kabisa. Leo Ikulu...
0 Reactions
2 Replies
425 Views
Hao ndio wanasiasa bana, Hebu waulizeni ndugu zetu CCM walizuia mikutano ya vyama vya siasa ili wajenge uchumi. Ajabu hii. Sasa je uchumi walioujenga ni upi? Au maendeleo yaliyoletwa kwa sababu...
0 Reactions
0 Replies
282 Views
BUNGE linatarajiwa kuanza mikutano yake Mwishoni mwa wezi huu, ikiwa ni siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza hadharani yuko tayari kukosolewa yeye na Serikali yake ili...
0 Reactions
3 Replies
573 Views
Kuna wakati, tangu wakati wa kupigania uhuru, Tanzania ilikuwa miongoni mwa nchi zilizokuwa zina mvuto wa pekee kwenye siasa za kimataifa. Huo ulikuwa ni wakati wa Rais Nyerere. Ni nyakati hizo...
3 Reactions
10 Replies
528 Views
Nyerere aliwahi kutamka wazi, Kwamba maadui watatu wa taifa letu ni maradhi,ujinga na umasikini.Hivi vinapaswa kuwa kipimo kwa kiongozi yeyote aliyepo madarakani. Ni ukweli kwamba siasa zina...
5 Reactions
9 Replies
655 Views
Akiwa kwenye mkutano na Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa Rais Samia amesema ni kweli serikali hii ina madeni lakini watu wasiishie tu kusema hivyo, bali waseme pia kwenye uchambuzi madeni...
0 Reactions
7 Replies
994 Views
Akizungumza kupitia kipindi maalum cha kumbukumbu ya miaka 14 ya kifo cha Baba WA Taifa Mwalimu Nyerere, ameeleZa kuwa chama cha siasa ni lazima kijikite majukwaani NA mabarabarani kama kina...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko kuhusu kitu kinachoitwa trends na visions. Trends ni kusoma mielekeo, na visions ni kuona mambo yajayo ya mbali, hivyo trends za rais Magufuli anazokwenda nazo, kwa sisi...
34 Reactions
130 Replies
16K Views
Agizo hili Kabambe limetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho , Mh John Mnyika , alipoongea na Waandishi wa Habari Kwenye Makao Makuu ya Chama hicho , Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni ...
19 Reactions
95 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…