Siasa za bongo bila vijembe hazinogi

Siasa za bongo bila vijembe hazinogi

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,441
Reaction score
12,166
Kwanza nianze Kwa kukutakia kheri ya Mwaka Mpya Ndugu Rais, Dr Samia Suluhu Hasani. Sambamba na heri hiyo pia niendelee KUJULISHA YA KUWA Ili Leo hama Ili tukio la leo side tunaopenda kusoma vitabu tena riwaya pendwa za kiswahili, mimi niliwai lisoma tukio ili kwenye riwaya ya Mimi Rais.

Rais ungelikuwa na muda wa kusoma Riway walah Riwaya hii ningeinunua na kukutumia hapo Ikulu, ila ntafanya hivyo utakapo stafu, miaka Saba ijayo.

Nina hakika wewe utashinda kabisa uchaguzi ujao pas na shaka ushindi wako, ni zao la matendo Yako keep it up Mamy!

Rais mie langu ni moja, naomba utambue yakuwa mwanaume aliyekuwa jela, akitoka jela kama alimwacha mke wake nje na akarudi akamkuta Yu hai na nguvu za kutosha pengine kakonda au kanenepa, tambua dume ilo liendapo faragha na mke walah kama mke angekuwa anasimulia kesho yake angesimulia aliyokutana nayo uko faragha.

Rais viongozi wa vyama vya siasa ni sawa na wafungwa, walikuwa jela, yaani wanaugwadu haswa, nishauri Rais uvumilie watu hao watoe ugwadu wao maisha yataenda.

Rais ugwadu walionao nina hakika wakiutoa wote nchi yetu itapumua, wakiutoa Nina hakika nchi yetu itapumua narudia tena.

Kwa kuwa Rais umeamua bwana jela atoke jela mwache ugwadu aumalize, siasa za Bongo Rais paspo kuchambana hazinogi. Rais waruhusu hawa mabwana jera wamalize ugwadu.

Uzuri niujuao, watakaoumia na mchezo huo ni wale waaliopo chini yako, walah nakuhakikishia maubadhilifu yanayofanyika kwenye halimashauri Rais yanaenda kukomeshwa na mabwana jela hawa.

Rais natambua upendi kabisa neno Rais anakopa, ila ukweli hakuna anaepinga ukopaji tatizo ni matumizi yake. Kuna pahala watu wako wanakupiga tambua ilo na pambana nalo.

Yote kwa yote hongera kwa kauli zako za Leo. Rais hwa hiyo sisi ubwa bwa wa Ikulu mpaka tuanzishe vyama vya Siasa.
 
Buyu limejaa asali, mama anawamudu hao jamaa vizuri kwelikweli. Anaupiga mwingi hadi unamwagika.
 
Back
Top Bottom