Maajabu! JANET ni Jina la mke wa Magufuli, Kagame na Museveni

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,992
Ni kitu cha ajabu.Wake wa maraisi watatu wote wanaitwa Janeth.

Picha+wake+wa+Marais.jpg

Mke wa Magufuli ni Janeth

Mke wa Kagame Ni Jannette

Mke wa Museveni NI Janeth

Maajabu ya Karne haijawahi tokea.

Kama kuna mtu anaitwa Janet na hajawa mke wa Raisi atajijua.
 
Ni kitu cha ajabu.Wake wa maraisi watatu wote wanaitwa Janet.

Mke wa Magufuli ni Janet
Mke wa Kagame Ni Janet
Mke wa Museveni NI Janet

Maajabu ya Karne haijawahi tokea.

Kama kuna mtu anaitwa Janet na hajawa mke wa Raisi atajijua.
Na mke wa Uhuru anaitwa Magreth, je wake wa Nkurunzinza na Salva Kiir wanaitwa nani?!
 
Ni kitu cha ajabu.Wake wa maraisi watatu wote wanaitwa Janet.

Mke wa Magufuli ni Janet
Mke wa Kagame Ni Janet
Mke wa Museveni NI Janet

Maajabu ya Karne haijawahi tokea.

Kama kuna mtu anaitwa Janet na hajawa mke wa Raisi atajijua.

Na ndio maana hata nchi wanazoziongoza ni tajiri sana kutokana na nyota ya majina ya wake zao. Acha utoto wewe.
 
Ndo leo unajua hili? Kwa taarifa na mke wa Kabila nasikia nae ni Janet. Sina hakika, mwenye taarifa sahihi atuthibishie.
 
Back
Top Bottom