Ni vema Mbowe asistaafu Uenyekiti hadi Katiba mpya itakapopatikana, tunahitaji Busara zake kuliko maguvu kama ya kikurya!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,461
141,163
Ni ushauri tu kwa Chadema kwa sababu Mbowe ameipigania Katiba mpya tangu enzi za UKAWA ni vema tumwache amalize Hili jukumu kibusara zaidi

Mchakato wa Katiba mpya unahitaji hekima na Busara na siyo nguvu bila akili

Ni hayo tu ndugu zangu hapo Ufipa st Kinondoni shamba.
 
Mbowe mwaka huu hagombei tena uenyekiti,ataendelea kuwa mwanachama mwandamizi na mshauri hivyo bado ataendelea kukitumikia chama.
 
Na hata ikitokea siku ikafika akaitwa na Mwenyezi, aendelee kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Kiwepo cheo cha Makamu Mkuu na wasaidizi wawili; Bara na Zanzibar.

Hapo watakuwa sawa na Korea Kaskazini. Kim Il Sung pamoja na kufariki miaka zaidi ya ishirini nyuma bado ndio anatambulika kama KIONGOZI MPENDWA wa Korea Kaskazini.
 
Back
Top Bottom