Lugha yako, lafudhi yako, sura yako na unyenyekevu wako vinakupa kila aina ya sifa za kuwa kiongozi bora.
Mambo matatu mazito umeyaruhusu leo ambayo ni nadra sana kuyasikia kwa viongozi wa...
Ni vizuri kwa anavyosifiwa sijakataa, ila ningependa kwa anaefahamu vizuri sheria inasemaje juu ya hili?
Isitokee akakosolewa alafu sheria ikaleta ukakasi kama tunavyowajua wakosoaji wapo na...
Mnyonge mnyongeni lakini Freeman Aikael Mbowe aka Mwamba amepambana sana kwa Habari ya Katiba mpya. Hata yule John Pambalu wa BAVICHA anastahili pongezi na ile timu yake.
Hatimaye tunaenda kupata...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuondolewa kwa zuio la mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa zuio hilo lililodumu kwa miaka 6 baada ya kauli hii...
TRA kama ilivyo kwa Polisi, LATRA, Takukuru, EWURA, TCRA na wengine wa namna hiyo malamiko dhidi yao yanajulikana.
Hakuwahi kusikia malalamiko ya watu wengine dhidi ya mamlaka hizi ikiwamo TRA...
Natumaini wote mtamaliza mwaka salama pamoja na wengine wetu kuanza kuharibiwa kipindi hiki na watu wasiojulikana.
Tanzania ina mashujaa wengi sana ambao ama wamepoteza maisha au kuumia katika...
Kuna muda huwa najiuliza tu kama watanzania tulianza anzaje kuwa na mbunge kama Babu Tale
Mwendazake alifanya kazi ya ubunge iwe ni kama kazi ya kubeti tu. Wanatangaza nafasi mwenye pesa...
Kundi la Watanzania wanaoishi nje ya nchi kupitia mtandao uitwao Green Advocates limejipanga kuhakikisha Rais wa sasa Dk Samia Suluhu Hassan anakuwa ndio mgombea wa CCM na kupata ushindi mkubwa...
Katika SIASA za HOVYO ambazo CCM imewahi KUZIFANYA toka kuanzishwa kwake ni Wakati wa Utawala wa wa AWAMU ya 5
Siasa hizo ni za
1. Kuvuruga UCHAGUZI wa SERIKALI za MITAA 2019
2. Kuvuruga UCHAGUZI...
ZITTO ACHA KUPOTOSHA. NI HIVI, MAKUSANYO YA AWAMU YA NNE NI SAWA NA MAKUSANYO YA MWAKA MMOJA TU KATIKA AWAMU YA TANO.
Leo 10:15am,13/04/2020
Kulinganisha makusanyo ya miaka mitatu ya mwisho ya...
Nini kinaendelea? Hili ni swali linalogonga vichwa vya Watanzania wengi wenye shauku ya kujua majadiliano baina ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Salaaam!
Kuhusu kuundwa katiba mpya serikali haina budi kutenda haki juu ya muundo wa jopo au kamati au bunge ambalo halitahusisha mbunge yeyote na wa chama chochote, katiba iundwe na...
Amekuwa na wakati mzuri sana kwenye uongozi wake ndani ya muda mfupi.
Ukiona mpaka viongozi wa upinzani hasa chama kama CHADEMA wanamkubali na kushiriki kwenye mwito wake ujue huo ni uungwana...
Gharma za bidhaa zilikuwa juu naona na mwaka huu bado zimeendelea kuwa juu. Bidhaa za muhimu sana zaidi ya mafuta zimekuwa bei ghali, CHAKULA.
Sihitaji kutaja bei kwani kila anajione janga hili...
Hili jambo limenishangaza sana ! Na kwa utafiti niliofanya ni dhahiri wabunge wa ccm hawana uwezo wa kuitisha mikutano ya hadhara popote pale kwenye majimbo yao , ikiwa ni pamoja na vijiji...
Wakati bado najiuliza nani ataenda kuiwakilisha NCCR Magaeuzi kwenye kikao cha viongozi wa vyama vya siasa na Mh Rais, ila bado napata swali mwenyewe! Hivi walivyo wanasiasa wetu kesho unatarajia...
Nafuatilia hapa mkutano wa Rais Samia na viongozi wa vyama 19 vya siasa nchini amekiri wazi kuwa Serikali ipo tayari kuanza na kamati itakayoshauri Katiba ya Watanzania.
Rais ameshauri wakati...
Watanzania ni watu wa kujishughulisha. Wanapambana maana wanalima, wanafuga na kufanya ujasiriamali wa kila namna.
Ila ukweli ni kuwa CCM haina sera na mipango madhubuti ya kiuchumi kuwanyanyua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.