Pendekezo: Mkutano wa Kwanza wa Chadema jijini DSM ufanyike Uwanja wa Mkapa tuvunje Rekodi ya kujaza Uwanja ya Mtume Mwamposa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,131
Kama tujuavyo kwa sasa hatuna Viwanja vya Jangwani wala Mwembeyanga na pale Kawe ni padogo

Hivyo napendekezo kwa Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika ikimpendeza mkutano wa kwanza Jijini Dar es salaam ufanyike Uwanja wa Mkapa aka Lupaso

Heri ya mwaka mpya!
 
Attachments

  • BFFBE492-8189-4242-BAEF-9F0ED860CDE3.jpeg
    BFFBE492-8189-4242-BAEF-9F0ED860CDE3.jpeg
    55.9 KB · Views: 1
Sababu za Lema na Lisu kujibanza kwa wazungu zinadhidi kumalizwa, mikutano ya siasa imeruhusiwa, madai yote ya Lisu yamelipwa, kesi yenye kila aina ya ushahidi ya gaidi wa kuuwa viongozi wa serikali imefutwa.
Ngoja tuone kiki mpya watakayokuja nayo .
 
Watarudi kwa wakati wao
 
Kama tujuavyo kwa sasa hatuna Viwanja vya Jangwani wala Mwembeyanga na pale Kawe ni padogo

Hivyo napendekezo kwa Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika ikimpendeza mkutano wa kwanza Jijini Dar es salaam ufanyike Uwanja wa Mkapa aka Lupaso

Heri ya mwaka mpya!

Kuruhusiwa mikutano sio mashindano ya kujaza watu viwanjani bana ! Ni kuratibu mikutano yenye tija na impactful! Kunadi sera na kukosoa CCM
 
Back
Top Bottom