Kwa tamko la Rais, ili kufanya mkutano wa hadhara wa siasa, utalazimika kuomba kibali cha polisi au unatoa taarifa tu na unakwenda jukwaani kufanya mkutano wako?
MY observation: Kama kuna kuomba...
MAJIZZO Boss wa E-FM nadhani umemsikia Rais Samia kuhusu kuruhusu watu kumkosoa, sasa uamuzi wako wa kumchukulia hatua Gerald Hando kama itakupendeza utengue kama sehemu ya kuunga mkono uamuzi wa...
CHADEMA Mkoa wa Morogoro kimemfukuza uanachama aliyekuwa kada wao, Dkt. Alabanie Marcossy kwa makosa ya kukiuka kanuni, sheria na maadili ya chama hicho.
Hivi karibuni Dkt. Marcossy alitoa waraka...
John Heche na John Mnyika walikuwa na kikao katika Jiji la Mwanza kilichohusisha wilaya ya Nyamagana na Ilemela, John Heche alishangazwa na uchache wa watu katika ukumbi, na akasema angalau Iringa...
Mlifikiri ni siri sasa vimeanza kuibuka hadharani!
Kitakachofuatia ni watu kuondoa fedha zao Benki kama ilivyokuwa kwa Magufuli, soon mtapata majibu yenu kwenye uchumi!
Huu uhuni nina uhakika...
Kwa wale ambao wana uwezo wa kufikiri tu
Kama ambavyo wengi waliliona hili tangu muda hatimaye Kipilimba ametolewa ndani ya TISS baada ya kuifanya TISS kuwa dhaifu.Sio dhaifu kiutendaji bali...
Ndugu zangu, Rais Samia Ni zaidi ya kiongozi, Ni zaidi ya Mwanasiasa,Ni zaidi ya mwanadiplomasia,Ni zaidi ya jasusi wa kiuchumi,Ni zaidi ya komandoo wa Vita ya kiuchumi, Rais Mama Samia Ni...
CHAMA cha Mapinduzi CCM kinapaswa ndio kiwe chama cha kwanza cha siasa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika Jiji la Dar es Salaam na baadaye Mwanza, Mbeya na Arusha kama sehemu ya kuzindua...
Miaka 61 ya Uhuru usio na Uhuru!
Mnaempinga kisiasa
anawapangia cha kusema
Anawapangia muda wa kusema
Anawapangia pa kusemea
Huu ni Uhuru pasipo Uhuru
Hata ukipanga nyumba ukaambiwa uko huru...
Leo nimekutana na Habari Mkuu wa Mkoa wa Dar kaenda na kamati yake ya Ulinzi na Usalama Wavuvi Kempu na kawapiga biti kuhusu clip iliyorushwa inayoonesha namna watu wanavyokula bata.
Mbaya zaidi...
Kama Kuna Jambo kubwa nimejifunza kutoka kwa Rais wangu kipenzi, mama SAMIA, ni kuwa huru kusema ukweli, hata Kama unauma. Mama Samia hafichi, Kama amekopa anasema amekopa, Kama analipa anasema...
Dar es Salaam. Wakati kukiwa na malalamiko ya kituo cha mafuta kujengwa kwenye hifadhi ya barabara eneo la Kimara Stop Over, Wakala wa Barabara nchini (Tanroads), wamesema suala hilo limeenda...
"Ukiona Kiongozi wa Upinzani anaingia na kutoka Ikulu kuliko waziri wa serikali na unapohoji anakuwa mkali na kuongea kwa hisia bila kujibu mantiki ya mchakato huo wa maridhiano uliojawa na usiri...
KASHFA kubwa iliyotokea ya Vifaranga zaidi ya 60,000 kufia Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam vikitokea Ubelgiji hivi ni kweli hadi sasa hakuna wa kuwajibika kutokana na kashfa hii.
Au ndio ule...
Nimejitoa kukitumikia Chama Cha Mapinduzi kwa moyo na nguvu zangu zote. Ni muumini wa siasa za CCM na ninaamini bila CCM hakuna siasa safi wala viongozi bora na kwa mantiki hii nitajitoa...
Tanzania imefungua ukurasa mpya wa demokrasia kwa kurejesha haki ya wananchi kushiriki mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa.Tunachosubiri kuona ni je kweli kuna utashi wa kisiasa kuruhusu...
Mwezi Septemba 2022 Bunge lilipitisha Sheria ya kuwasamehe kodi wawekezaji wakubwa na wabunge walishangilia sana Sheria hiyo kupita.
Leo TRA inashindwa kukusanya kodi kwa wawekezaji wakubwa kwa...
Kwanza nianze Kwa kukutakia kheri ya Mwaka Mpya Ndugu Rais, Dr Samia Suluhu Hasani. Sambamba na heri hiyo pia niendelee KUJULISHA YA KUWA Ili Leo hama Ili tukio la leo side tunaopenda kusoma...
Wadau Nawasabahi,
Nachukua fursa hii kumwomba kwa heshima na taadhima Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Wanachadema wote kusitisha kabisa mpango wake wa kustaafu Uenyekiti wa CHADEMA kwani...
Mkt wa ACT wazale do ni Juma Duni Haji ambaye sasa sijui kwa mujibu wa katiba ya ACT wazalendo kama ana hadhi sawa na Wenyeviti wa vyama vingine au ana hadhi sawa na makatibu wakuu wa vyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.