Majimbo yote ya Arusha na Kilimanjaro Kwa kuzingatia Aina ya nguvu ya upinzani huko na wabunge waliopo Kwa SASA NI wazi mkiwapelekea wananchi wagombea serious wanapata endorsement before 2025...
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Edward Lowassa aliipa heshima kubwa sana CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 baada ya kuwapa kura nyingi za urais na wabunge wengi sana zaidi ya 100 wa...
Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc
Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa...
Habari zenu wana JF wenzangu.
Hapo chini ni mambo 10 yaliomshinda raisi Magufuli enzi za uhai wake.
1) Alishindwa kuwa mnafiki
2) Alishindwa kushirikiana na mabeberu walioinyonya nchi yetu
3)...
RAIS Samia Suluhu Hassan kwenye hotuba yake ya leo amesema aliambiwa asikutane na Chadema kusaka maridhiano.
Kwa kuwa tumeshaamua kuwa taifa la haki, ukweli na uwazi ni vizuri tuwafahamu hao...
Nimekusikia juzi unasema sema kuhusu katiba mpya nakushauri dada wangu usiingie kwenye huo mtego utajipalia mkaa unaweza ukapokonywa cheo usifike hata hiyo 2025.
Nadhani unajua kwa sasa hakuna...
Kuna mgogoro mkubwa sana katika vijiji vivyo viwili ambao ulishapelekea watu zaidi ya 5 kuuwawa. Viongozi wa wilaya ya bunda ambapo Kuna Kijiji Cha mekomariro na viongozi wa wilaya ya Serengeti...
Hapa siongezi Hata nukta jioneeni wenyewe
Zitto Kabwe:
Kauli ya kwanza
"Hii serikali inakopa sana, hawa watu wakipata tena nafasi mpaka 2025 nchi itauzwa."
***
Kauli ya pili
"Unataka maoni ya...
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha...
Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.
Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.
Msikilizeni Dr hapa chini.
Ameteuliwa leo na Rais Dkt Samia kuwa mjumbe kwenye Tume ya Maboresho ya Haki Jinai .
Tume hiyo inaongozwa na Jaji Mstaafu Othman Chande, wamo pia Eliezer Feleshi na Edward Hosea .
Vijana...
Swala la kuwa na bima ya afya ni la msingi sana kwa kila mwananchi. Hata hivyo kwa Tanzania yetu swala la kuwa na kadi ya bima ni moja na swala la kupata huduma kupitia bima hiyo ni lingine...
Mtadanganyana na kudanganyika wenyewe kwa wenyewe!
Jiulizeni Mkurugenzi TISS kupelekwa Ikulu, kwa mfumo ule ule wa Lukuvi na Kabudi! Hamjifunzi jambo hapo tu? Pale wanaenda kuwekwa kwenye ulinzi...
Uongozi ni dini na dini ni ibada na dini ni kuungama, kutubu, kuwa msafi, kukataa uwongo na unafiki.
Kwa awamu zote za utawala toka uhuru nchi hii haijapata kiongozi , ni ukweli usiopingika...
Naomba nizungumzie kiujumla, licha ya kwamba kati yetu binafsi, wapo ambao wako tofauti na walio wengi.
Watanzania wengi ni wajinga [wasiozijua haki zao] na ni waoga sana.
Mchanganyiko wa hizo...
Nyumbani Tanzania, malalamiko yamekuwa mengi kuhusiana na kupanda sana kwa bei ya chakula. Wengine wakiilaumu Serikali kuwa haikuchukua jitihada za kutosha ili kuzuia mfumko wa bei ya chakula...
Kama tulivyowaambia jana, Kwamba leo tarehe 5/01/2023, Chadema itakuwa na kikao cha dharula cha Kamati Kuu, kitakachoongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe.
Kama mnavyoona Kikao hicho kizito...
Watu wengi wanakikio cha maji baadhi ya mikoa hasa daresalaam dodoma na shinyanga tatizo ni nini? mbona mvua zinaendelea kunyesha vizuri na je ni kweli ziwa victoria limekumbwa na ukame hadi mkoa...