Nani kuvunja rekodi ya Lowassa ndani ya CHADEMA?

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Edward Lowassa aliipa heshima kubwa sana CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 baada ya kuwapa kura nyingi za urais na wabunge wengi sana zaidi ya 100 wa kuchaguliwa majimboni.

Lowassa alikuwa mgombea urais wa CHADEMA lakini pia alikuwa kwenye list of shame ya CHADEMA.

Lema na Lissu waliacha madeni makubwa pale Bungeni na Mali za Lema Kila mara zinatishiwa kuuzwa kwa madeni.

Mbowe ndio usiseme, anakopa kuanzia kwenye karata mpaka mabenki.

Mnyika Ile midaladala yake inayozurura hapo Dsm ni mikopo.
 
Back
Top Bottom