Tunataka mamlaka hii iwebora na inakuwa katika viwango vya kimataifa kuendana sawa na mamlaka zingine katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kwani imepewa majukumu makubwa ya kusimamia mapato ya...
Ndg zangu,
Ningependa kumshukuru MwenyeEnzi Mungu kwa nafasi ya kuona na kujifunza Tanzania.
Pia kwa mujibu wa imani zote upagani na dini mapokeo zote zinatamka laana ni mikosi na matukio mabaya...
Amani iwe nanyi,
Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema, amani, upendo, umoja na mshikamano kwa taifa letu. Ni mengi makuu Mungu ametenda maishani mwetu...
Kimsingi Tanzania haina Mahakama, kwa maana halisi ya Mahakama kama chombo huru kinachojitegemea kilichowekwa na umma kwaajili ya kusimamia haki.
Kinachoitwa Mahakama, kwa Tanzania, ni idara tu...
Anatuhumiwa kushiriki rushwa wakati wa mchakato wa kumpata Meya wa Manispaa hiyo.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM Mh Magufuli akiwa ziarani Mkoani humo.
====
Katibu CCM asimamishwa kwa...
Wana Jamvi,
Chadema imejiandaa vizuri kupata mrithi wa kiti cha ubunge Muleba kusini, Ni msomi mchumi ambaye anaweza kuleta mapinduzi ya kiuchumi kwenye wilaya ya Muleba ambayo hivi karibuni...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika leo Jumamosi tarehe...
Mjumbe wa kamati Kuu ya Chadema CPA Ruge amemshangaa mwenyekiti wa UWT mama Hangaya aliyedai anaipenda CCM kuliko anavyowapenda Watoto wake
Ruge kupitia twitter account yake amesema huyu mama...
Harakati za mapambano ya kujikomboa hazijawahi kuwa rahisi. Harakati hizi zinahitaji uongozi mahiri wenye kuweka maslahi ya taifa mbele dhidi ya maslahi yote binafsi.
Ujio wa Mh. Tundu Lissu Jan...
Haipo haja tena ya kuendelea kuwataka hawa jamaa kuridhia uchunguzi huru. Ni wazi kuwa hawautaki kwa maana pasipo na shaka yoyote utawaumbua na pia ni wazi kuwa hawatakaa waridhie kwa maana...
Mh. Magufuli kwa mara kadhaa umekuwa na kauli tata ambazo wanaokutakia mema wamekuwa wakikuasa from time to time kuwa ni busara kuwa na akiba ya maneno. Ya kuwa u rais una deserve kauli bora zaidi...
Wanabodi,
Miradi ya maendeleo ya serikali ya awamu ya sita inafanywa kwa dhumuni la kuwasaidia wananchi na kutuvusha kutoka kwenye hali tuliyonayo sasa hivi kuelekea kwenye hali nzuri zaidi. Siku...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika leo...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA .
Taarifa iliyosambazwa kwa vyombo vya...
Pesa za umma zinaliwa huku wananchi wakiteswa na tozo.
==
Ujenzi wa kivuko cha Mv Kazi uligharimu Sh7.3 bilioni na kina uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22 sawa na jumla ya tani 170...
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu, Januari 13 2023,amefanya ziara kijiji cha Msula Kata ya Misughaa na kukagua miradi minne ya maendeleo inayotekelezwa kwenye kijiji hicho.
Katika ziara...
Katibu wa NEC- Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi Januari 14, 2023 Saa 11 Jioni atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM...
1. Lijengwe jukwaa la mtandao ambalo watanzania wengi wanaweza kujiandikisha kupitia nyaraka mbalimbali. Jukwaa hili litasaidia sana kukusanya mawazo ya watu wengi wenye uchu wa maendeleo na...
Huyu Bwana kwa hakika ndiye tatizo kubwa Kwa Rais Samia na CCM yake.
Ametangaza kuwa, Sasa anarudi nchini kwake baada ya kukaa uhamishoni nchini Ubelgiji kwa takribani miaka karibu 6 Ssasa.
Tena...
Mtu mmoja tu kutoka CCM aliamua kuwa hataki kuona mpinzani yeyote akishinda uchaguzi 2020 na ikawa! Mtu mmoja tu aliamua wabunge 19 wa CHADEMA waapishwe bila ridhaa ya chama chao na ikawa.
Je...