winnerian
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 407
- 638
1. Lijengwe jukwaa la mtandao ambalo watanzania wengi wanaweza kujiandikisha kupitia nyaraka mbalimbali. Jukwaa hili litasaidia sana kukusanya mawazo ya watu wengi wenye uchu wa maendeleo na maboresho ya nchi yetu.
2. Tume/timu maalumu ya kukusanya maoni na kuyachambua yanafanana kukaa sehemu moja (cartegorization) iundwe kwa kufuata uadilifu wa mtu na uzalendo. Bahati mbaya hatujawa na idara ya kukusanya majina ya watanzania ambao ninwazalendo na kuyahifadhi yawe yanatumika pindi tunapohitaji hao watu.
3. Maoni yakatiba mpya yafanyiwe kazi na watanzania ambao sio wanasiasa na hawafungamani na siasa.
4. Kisha mapendekezo yote yaletwe kwa wananchi kupigiwa kura ya wazi kabisa.
5........
6........
7.......
8........