DAR: Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha kamati kuu ya Halmashauri kuu maalum ya CCM kwa mafanikio

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
2,542
2,175
IMG-20230114-WA0169.jpg
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika leo Jumamosi tarehe 14, Januari , 2023 Ikulu Jijini Dar Es Salaam.

IMG-20230114-WA0156.jpg
IMG-20230114-WA0139.jpg
 
Mkutano wa chama unafanyika ikule tena ?
Jameni haya si ndiyo yale yale ya Magufuli?
 
Yasemekana kuna kundi ndani ya ccm linaunda njama za kumuondoa Samia 2025. Ndiyo maana ccm inakutana kwa dharura

Chimbua sababu za Diwani na Katanga kuondolewa ktk nafasi zao
Para yako ya mwisho wala haina uhusiano na hoja unayotaka kujenga!
 
Back
Top Bottom