Siasa za uhasama ziliasisiwa na CCM yenyewe kwa sababu ya uroho wa madaraka!

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Mtu mmoja tu kutoka CCM aliamua kuwa hataki kuona mpinzani yeyote akishinda uchaguzi 2020 na ikawa! Mtu mmoja tu aliamua wabunge 19 wa CHADEMA waapishwe bila ridhaa ya chama chao na ikawa.

Je, ni kweli CCM inadhamira ya kweli kutaka siasa za kistaarabu? Je, wataacha kuiba kura na kutumia dola kushika dola?
 
Tu
Mtu mmoja tu kutoka ccm aliamua kuwa hataki kuona mpinzani yeyote akishinda uchaguzi 2020 na ikawa! Mtu mmoja tu aliamua wabunge 19 wachadema waapishwe bila ridhaa ya chama chao!na ikawa. je ni kweli ccm inadhamira ya kweli kutaka siasa za kistaarabu? je wataacha kuiba kura na kutumia dola kushika
Tusubiri tuone 🤔
 
Back
Top Bottom