Shaka Hamidu Shaka, ameteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akichukua nafasi ya Humphrey Polepole ambaye ni Mbunge wa kuteuliwa.
=======
Mwenyekiti mpya wa...
Tusije jisahau kuwa chama chetu cha CCM ni chama cha wananchi, zamani tukiita Wakulima na Wafanyakazi.
Yametokea mabadiliko mengi katika misimamo ya chama kiasi ambacho watendaji ndani ya chama...
Hapa Mwenyekiti Samia amekwenda mchomo na ni vizuri akambadilisha haraka sana.
Ataivuruga CCM kwani jamaa hamna kitu zaidi ya kuwa mtu wa mipasho na ufedhuli. Chama Chetu atakiua kama alivyokiua...
Masuala ya ajira huwa ni ajenda kuu kwenye chaguzi kote ulimwenguni. Mgombea anatarajiwa kuweka mikakati yake na projections zake wazi kuwa atazalisha ajira ngapi katika kipindi gani.
Ajira si...
Waliuwa watu karibu 20,000 kwenye mapinduzi yale na wanendelea kuua na kutesa watu hadi hi leo. Ni ngumu sana hii nchi kuendelea kwa Laana hii, hata tungekepewa rasilimali za ulimwengu mzima...
VIPAUMBELE VYA FEDHA ZA MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF) 2022/2023 - IGUNGA
1. Kukamilisha ujenzi ulioanza wa Ofisi za Kata, Ofisi za Serikali za Vijiji, Vyoo vya Walimu, Vyoo vya...
Kasi ya ukuaji wa Deni la Taifa na kushuka kwa mauzo nje; hali ya uchumi wetu inatishia maendeleo ya watu.
Utangulizi
Kutokana na taarifa ya tathmini ya uchumi wa nchi yetu kwa mwezi Novemba...
Katika pitapita zangu kwenye Social Media nimekutana na "screenshot" inayoonyesha chats za Askari Police (baadhi).
Huenda huu ndio mtazamo wa jumla wa Hawa jamaa wa Form Four.
Shaka alikuwa kishaanza kuimudu kazi ya uenezi. Lakini ghafla bin vuu tunaona anaondoshwa kunako kiti cha uenezi.
Tunajiuliza kaboronga ama kagusa maslahi ya wenye nchi?
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameahidi kurejea nchini baada ya kuona Tanzania sasa ni salama chini ya Rais Samia Suluhu kama tunakumbuka Rais Samia Suluhu Februari 2022 alifanya ziara...
Kati ya biashara ngumu na sophisticated ni pamoja na biashara ya usafiri wa anga. Makampuni makubwa kabisa ya ndege yenye wataalam wenye weledi na uzoefu, kuna wakati wanaishia kupata hasara. Kama...
Dk Wilbrod Slaa sio kiumbe cha kukibeza hata kidogo! Yule ni mtu na nusu, kwenye siasa za nchi yetu! Nahisi bado ni aset kubwa sana.
Kama jibu ni ndio Namuomba sana Zitto Kabwe na Babu Duni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2023.
Leo namsalimi Mzee Kikwete baba wa Democrasia alie kubali yote ukimuona dhaifu poa ukimuona fisadi poa Yani mambo poa.
Ukimsema jukwaani anatafuta jukwaa na yeye anakuwa za uso🤭
Leo namuuliza...
Wakati Mwenyekiti wa CCM wa Awamu ya 5 Hayati Magufuli anafanya Ziara Mkoani Morogoro Bw. Shaka alikuwa Katibu wa CCM Mkoa na ktk Mkutano wa Hadhara Mwenyekiti Wa CCM Magufuli Aliuambia UMMA Wa...
Mitazamo ya CCM na CHADEMA kuhusu mapendekezo ya mfumo wa serikali kwenye Rasimu ya katiba mpya inafanana kabisa. wote wamelenga maslahi ya vyama vyao na si maslahi ya wananchi. Kila chama...
Kwa sisi wafuatiliaji Wa kandanda, tunapoona timu zetu au za wapinzani wetu zinashambulia bila kufunga magoli, husema nafasi hizo zitakumbukwa na kujutiwa mwisho Wa mchezo hasa pale ambapo timu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Runzewe mkoa wa Geita, leo tarehe 16 Oktoba, 2022
Kwanza nawashukuru, nimeingia Geita jana asubuhi sana...
Inawezekana laana za "wabaya"sasa zimeanza kufanya kazi yake ndani ya CCM hii.kama mmefikia kujiita Chawa wa Taifa!
Halafu mnaamini Kwamba Sophia atakuwa bora majukwaani,katika kipindi ambacho...
Chama kubwa CHAMA CHA MAPINDUZI CCM wameshasema nani apinge😋😋😋
Ndugu zangu chuki na makasiriko tuweke pembeni tufanye siasa za afya
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.