Waandishi wa habari Mkoani Shinyanga wameomba mamlaka zinazohusika kuingilia kati vitisho vinavyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga.
Malalamiko ya waandishi wa habari ni juu ya...
Je, COVID-19 ni nini?
COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza...
Hello Tanzania!
Hapa Tanzania kumekuwa na Kauli mbalimbali za ahadi na kuudhi wanazotoa viongozi kuhusu Ajira Kwa Vijana.
Kwa bahati mbaya hatuna Mechanism ya evaluation ya Kauli zao Ili kujua...
Msemaji wa Serikali anabwabwaja tu.
Mara anasema madege ya warabu yanaleta watalii.
Mara tunasikia madege ya warabu yanaleta makontena.
Sasa mtalii anakuja na makontena ya nini?
Nchi inauzwa...
Rais Wasaidizi wako wanakuangusha Tanganyika imegeuzwa shamba la bibi au kichwa cha mwendawazimu kila anayejifunza kunyoa anaenda kwenye Ranchi ya Usangu.
Kazi yetu kukuhabarisha, hatua stahiki...
CHADEMA mkitaka kushinda uchaguzi mwaka 2025 nendeni na legacy ya JPM mtapata sapoti kubwa kutoka kwa wanachi na kutoka kwenye baadhi ya viongozi fulani ndani ya chama tawala na itakuwa vigumu...
Nimesoma comment nyingi sana zikilaumu Kanda ya Ziwa kwamba wamekuwa wasaliti na ukabila, hii naona kama ni silaha inayotumiwa na wanachama wa CHADEMA ili kuwatisha wale wenye mpango wa kumpigia...
Endeleeni tu Kudhani kila mahala Mwanamke anafaa na kwamba Watanzania wa mwaka 2025 ili wapige / wampigie Mtu Kura wanataka kuona Lundo la Wanawake katika kila Sekta.
Bora kule Kwingine kwa...
Tunaposema Zanzibar Ilikuwa na maendeleo makubwa kitambo huwa tunamaanisha
Bila mzee Karume rip Yanga na Simba wangekuwa wanaishi vichochoroni hadi leo ungeweza kukuta Klabu zao zimejibanza pale...
Kizazi hiki wanazaliwa vijana wengi hawana akili.. yaani mtu unamkuta mzito wa akili anawaza mademu, kujichua, kubet, kushabikia.
Vijana wengi wame opt ushoga, hawajagangamaa kama sisi miaka...
Uongozi wa juu wa Sasa wa CCM umesheheni makada toka pande tajwa hapo juu.
Kanda ya Ziwa, Kati na Nyanda za Juu kusini hawaaminiwi na watu wa pwani. Waliaminiwa na mwendazake wakati huo...
Ndugu zangu,
Mlikuwa mnajitetea kuwa mmeminywa na wengine mkakimbia madeni mkasingizia mnataka kuuawa.
Sasa uwanja uko wazi, Nina hakika nyie kwa sasa mmelewa usingizi mzito, mnaenda Kulala...
Ukombozi wa nchi hii utatokea Kanda ya ziwa muda na wakati wa ukombozi wa Taifa hili ni sasa kwakutambua hilo Chama kikuu cha siasa nchini Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tayari...
Lengo lolote la Chama cha Siasa ni kushika Dola,inakuwaje hiki chama kinashambulia vyama vya Upinzani tunashindwa kuona? Vyombo vya habari kwanini mnashindwa kusaidia nchi mnashindwa kukipuuza...
Nampa angalizo tu, na pia nimejiuliza swali Hilo.
Labda Angelina ana hofu kwamba Yuko karibu na mtoto wa the most influential person, na anaweza kumkorogea mambo wakati wowote ule.
Maji...
Mhe. Tundu Lisu ameripoti kurejea nchini mwezi huu, hii ni habari kubwa nje na ndani ya nchi.
Swali la kujiuliza: Je, TBC wameripoti habari hii saa mbili kwenye taarifa ya habari?
Wameripoti...
Pana magari almaarufu usiku kwa usiku. Haya ni haramu kwa mujibu wa sheria japo abiria wanaoyahitaji wapo, tena wengi tu.
Pana magari Hiace yanazuiliwa kusafiri umbali zaidi ya km 100. Haieleweki...
Baada ya Maridhiano ya Rais Samia na Mwenyekiti wa Chadema Mhe. Mbowe zuio la kuvunja Katiba kulikofanywa na Rais wa awamu ya 5 liliondolewa kwani Katiba inaruhusu mikutano.
Baada ya tangazo hilo...
Shaka Hamidu Shaka, ameteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akichukua nafasi ya Humphrey Polepole ambaye ni Mbunge wa kuteuliwa.
=======
Mwenyekiti mpya wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.