Kanda ya Ziwa Kitovu cha Ukombozi wa Nchi Hii

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,605
2,729
Ukombozi wa nchi hii utatokea Kanda ya ziwa muda na wakati wa ukombozi wa Taifa hili ni sasa kwakutambua hilo Chama kikuu cha siasa nchini Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tayari kinaandaa mkutano wa ufunguzi tangu marehemu alipobaka Katiba kwa kuweka zuio haramu zuio lililokinzana na Katiba ya nchi na sheria zake.

Tarehe 21 January 2023 nchi inaenda kufanya kitu kilichokosekana kwa miaka 7 mtawalia Taifa linaenda kuona watu waliozuiliwa kufanya kazi za kisiasa kwa miaka 7 wanaleta agenda 1000 (elfu moja) kwa wenye nchi.

Wananchi wamesubiri kusikia, kuchambua na kufanya maamuzi polis waliolazimisha kuwa ili ufanye mkutano wa hadhara lazima upewe kibari leo wamerudi kinyume kwamba sheria ilikiukwa polisi hawatoi kibari isipokuwa mtu au taasisi inatoa taarifa alafu polis kazi yao ni kulinda baada ya kujiridhisha na hali ya kiusalama aya hawakutaka kuyasikia wakatia wa marehemu aliyeongoza nchi kwa shingo ngumu pasi kuzingatia Katiba wala sheria za nchi.

21 January 2023 nchi itasimama sipati picha Mwanza itakuwaje tuiombee siku iyo ili mvua isinyeshe lakini pia Amani itawale wasiotaka kusikia wavumilie maana mikutano kwa vyama vya siasa ilipozuiwa CCM iliendelea na mikutano yao nasasa nimuda wa wao kukaa kusikiliza ili nao wajibu tuhuma za jinsi walivyoshindwa kuendesha nchi na kutusababishia umasikini.

Walivyoshindwa kuajili vijana, walivyoshindwa kupambana na mfumko wa bei kila kitu kiko bei juu na mzunguko wa pesa uko chini walivyoshindwa kutoa majibu ya TOZO, UFISADI MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA, UONEVU, HUDUMA MBOVU ZA AFYA, ELIMU DUNI na mengine mengi msomaji unaweza kuongeza ili andiko lisiwe refu.

Baada ya Mwanza kila Mkoa, Jimbo, Kata, Mtaa, Kijiji kutakuwa na mikutano ya kuwaeleza wenye nchi yale walitendewa na serkali hii inayoendeshwa na CCM na kuwasababishia maumivu kwa kufuta karo ya Tsh.20, 000/ (elfu ishirini) wakawarundikia michango inayofikia Tsh.200, 000/(laki mbili) kwa shule za UMMA.

CCM njoo na majibu mama ameishawaeleza "JIBUNI HOJA SIO KUPAYUKA" Wenye nchi tunapima na tutatoa maamuzi mazito 2024 serikali za mitaa.

Uku tukiendelea kusisitiza #KatibaMpyaNiSasa.

View attachment 2481552
Screenshot_20230110-154345.jpg

Screenshot_20230110-154345.jpg

Hayo maneno kwa kanda ya ziwa hawawezi kukuelewa, hizo agenda labda mpeleke yaliko makao ya chadema na kwenye chimbuko la hilo li chama.
 
Ukombozi wa nchi hii utatokea Kanda ya ziwa muda na wakati wa ukombozi wa Taifa hili ni sasa kwakutambua hilo Chama kikuu cha siasa nchini Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tayari kinaandaa mkutano wa ufunguzi tangu marehemu alipobaka Katiba kwa kuweka zuio haramu zuio lililokinzana na Katiba ya nchi na sheria zake.

Tarehe 21 January 2023 nchi inaenda kufanya kitu kilichokosekana kwa miaka 7 mtawalia Taifa linaenda kuona watu waliozuiliwa kufanya kazi za kisiasa kwa miaka 7 wanaleta agenda 1000 (elfu moja) kwa wenye nchi.

Wananchi wamesubiri kusikia, kuchambua na kufanya maamuzi polis waliolazimisha kuwa ili ufanye mkutano wa hadhara lazima upewe kibari leo wamerudi kinyume kwamba sheria ilikiukwa polisi hawatoi kibari isipokuwa mtu au taasisi inatoa taarifa alafu polis kazi yao ni kulinda baada ya kujiridhisha na hali ya kiusalama aya hawakutaka kuyasikia wakatia wa marehemu aliyeongoza nchi kwa shingo ngumu pasi kuzingatia Katiba wala sheria za nchi.

21 January 2023 nchi itasimama sipati picha Mwanza itakuwaje tuiombee siku iyo ili mvua isinyeshe lakini pia Amani itawale wasiotaka kusikia wavumilie maana mikutano kwa vyama vya siasa ilipozuiwa CCM iliendelea na mikutano yao nasasa nimuda wa wao kukaa kusikiliza ili nao wajibu tuhuma za jinsi walivyoshindwa kuendesha nchi na kutusababishia umasikini.

Walivyoshindwa kuajili vijana, walivyoshindwa kupambana na mfumko wa bei kila kitu kiko bei juu na mzunguko wa pesa uko chini walivyoshindwa kutoa majibu ya TOZO, UFISADI MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA, UONEVU, HUDUMA MBOVU ZA AFYA, ELIMU DUNI na mengine mengi msomaji unaweza kuongeza ili andiko lisiwe refu.

Baada ya Mwanza kila Mkoa, Jimbo, Kata, Mtaa, Kijiji kutakuwa na mikutano ya kuwaeleza wenye nchi yale walitendewa na serkali hii inayoendeshwa na CCM na kuwasababishia maumivu kwa kufuta karo ya Tsh.20, 000/ (elfu ishirini) wakawarundikia michango inayofikia Tsh.200, 000/(laki mbili) kwa shule za UMMA.

CCM njoo na majibu mama ameishawaeleza "JIBUNI HOJA SIO KUPAYUKA" Wenye nchi tunapima na tutatoa maamuzi mazito 2024 serikali za mitaa.

Uku tukiendelea kusisitiza #KatibaMpyaNiSasa.

View attachment 2481552View attachment 2481553View attachment 2481555
View attachment 2481553
View attachment 2481554
Wastage of time and resources on irrelevant political approaches towards the giants of the equator.

The political challengers (CCM, Chadema, ACT or CUF) against the late JPM shall reap negative fruition from Mwanza and other allied regions
 
Stupid mind can't recognize this.
 
Walifanya siasa kwa miaka 7 wakiwa wao. Ngoja tuone maana wamepaniki
 
Wastage of time and resources on irrelevant political approaches towards the giants of the equator.

The political challengers (CCM, Chadema, ACT or CUF) against the late JPM shall reap negative fruition from Mwanza and other allied regions
Unajipa matumaini hewa.
 
Ukombozi wa nchi hii utatokea Kanda ya ziwa muda na wakati wa ukombozi wa Taifa hili ni sasa kwakutambua hilo Chama kikuu cha siasa nchini Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tayari kinaandaa mkutano wa ufunguzi tangu marehemu alipobaka Katiba kwa kuweka zuio haramu zuio lililokinzana na Katiba ya nchi na sheria zake.

Tarehe 21 January 2023 nchi inaenda kufanya kitu kilichokosekana kwa miaka 7 mtawalia Taifa linaenda kuona watu waliozuiliwa kufanya kazi za kisiasa kwa miaka 7 wanaleta agenda 1000 (elfu moja) kwa wenye nchi.

Wananchi wamesubiri kusikia, kuchambua na kufanya maamuzi polis waliolazimisha kuwa ili ufanye mkutano wa hadhara lazima upewe kibari leo wamerudi kinyume kwamba sheria ilikiukwa polisi hawatoi kibari isipokuwa mtu au taasisi inatoa taarifa alafu polis kazi yao ni kulinda baada ya kujiridhisha na hali ya kiusalama aya hawakutaka kuyasikia wakatia wa marehemu aliyeongoza nchi kwa shingo ngumu pasi kuzingatia Katiba wala sheria za nchi.

21 January 2023 nchi itasimama sipati picha Mwanza itakuwaje tuiombee siku iyo ili mvua isinyeshe lakini pia Amani itawale wasiotaka kusikia wavumilie maana mikutano kwa vyama vya siasa ilipozuiwa CCM iliendelea na mikutano yao nasasa nimuda wa wao kukaa kusikiliza ili nao wajibu tuhuma za jinsi walivyoshindwa kuendesha nchi na kutusababishia umasikini.

Walivyoshindwa kuajili vijana, walivyoshindwa kupambana na mfumko wa bei kila kitu kiko bei juu na mzunguko wa pesa uko chini walivyoshindwa kutoa majibu ya TOZO, UFISADI MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA, UONEVU, HUDUMA MBOVU ZA AFYA, ELIMU DUNI na mengine mengi msomaji unaweza kuongeza ili andiko lisiwe refu.

Baada ya Mwanza kila Mkoa, Jimbo, Kata, Mtaa, Kijiji kutakuwa na mikutano ya kuwaeleza wenye nchi yale walitendewa na serkali hii inayoendeshwa na CCM na kuwasababishia maumivu kwa kufuta karo ya Tsh.20, 000/ (elfu ishirini) wakawarundikia michango inayofikia Tsh.200, 000/(laki mbili) kwa shule za UMMA.

CCM njoo na majibu mama ameishawaeleza "JIBUNI HOJA SIO KUPAYUKA" Wenye nchi tunapima na tutatoa maamuzi mazito 2024 serikali za mitaa.

Uku tukiendelea kusisitiza #KatibaMpyaNiSasa.

View attachment 2481552View attachment 2481553View attachment 2481555
View attachment 2481553
View attachment 2481554
Hiki chama chenu ikiwa kinatafuta uungwaji mkono Mwanza kwa kumtaja ovyoovyo JPM mtapotea, na kamwe hamtatoboa. Njooni mueleze sera zenu msije na matusi dhidi ya mwenzetu JPM aliyetangulia mbele za haki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom