CHADEMA kuelekea mwaka 2025 nendeni na 'legacy' ya Hayati Dkt. Magufuli

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
CHADEMA mkitaka kushinda uchaguzi mwaka 2025 nendeni na legacy ya JPM mtapata sapoti kubwa kutoka kwa wanachi na kutoka kwenye baadhi ya viongozi fulani ndani ya chama tawala na itakuwa vigumu kwao kupanga matokeo.

Najua how much you hate him but don't loose this opportunity na msijaribu kumtukana jpm kwenye mikutano yenu ya siasa uko mtaumia CHADEMA.

Namaliza hivo mimi ni kama mtume tu mtukane msitukane lakini ujumbe wangu tayari nimeufikisha.
 
Lazima atukanwe, ili historia ikae sawa, maana Kuna watu wanamuimba na kutaka kuaminisha watanzania kwamba alikuwa mtu mwema, wakati alikuwa hovyo kabisa
Utatukana SS wananchi tunachoangali alichofanya ,reli.bwawa la umeme maisha ayakupanda na vitu vingi alivyovifanya tunavyo viona vyenye nanufaa kwetu,ila vya chadema mtabaki navyo chadema
 
CHADEMA mkitaka kushinda uchaguzi mwaka 2025 nendeni na legacy ya JPM mtapata sapoti kubwa kutoka kwa wanachi na kutoka kwenye baadhi ya viongozi fulani ndani ya chama tawala na itakuwa vigumu kwao kupanga matokeo.

Najua how much you hate him but don't loose this opportunity na msijaribu kumtukana jpm kwenye mikutano yenu ya siasa uko mtaumia CHADEMA.

Namaliza hivo mimi ni kama mtume tu mtukane msitukane lakini ujumbe wangu tayari nimeufikisha.
TENA MUZINGATIE HAYA..

1. "Hawa wanaoropoka ropoka huko bungeni wafukuze watoke huko na wakija huku nje 'I will deal' with them"
2. "Huwezi kuwa msaliti na ukategemea uishi"
3. "Hawa watuhumiwa wenye silaha muwanyang'anye silaha haraka haraka"
4. "Viongozi wanaopanga kufanya maandamano wakae mstari wa mbele ili wakione wasikae nyuma nyuma kwa maana mimi huwa sijaribiwi"
5. "Msinijaribu, msinidrive!"
6. "Mwenye kuleta fyoko fyoko atakiona"
7. "I wish I was the IGP"
 
Mtoa mada upo sahihi kwa zaidi ya 93%. JPM mmoja kati ya watu wachache sana Duniani mwenye nyota ya pekee kabisa ya kupendwa na watu wengi.

Katika uchaguzi wa mwaka 2025, mgimbea yeyote akifanya kwa jina la JPM, atafanikiwa sana tena sana.

Lakini, atakayekwenda kinyume na JPM kwenye majukwaa, atapotea kabisa.
 
CHADEMA mkitaka kushinda uchaguzi mwaka 2025 nendeni na legacy ya JPM mtapata sapoti kubwa kutoka kwa wanachi na kutoka kwenye baadhi ya viongozi fulani ndani ya chama tawala na itakuwa vigumu kwao kupanga matokeo.

Najua how much you hate him but don't loose this opportunity na msijaribu kumtukana jpm kwenye mikutano yenu ya siasa uko mtaumia CHADEMA.

Namaliza hivo mimi ni kama mtume tu mtukane msitukane lakini ujumbe wangu tayari nimeufikisha.
Anzisheni chama chenu cha legacy nyie Safia legacy Msitake kupaka matope vyama vingine.
Isitoshe legacy siyo agenda ya maana nchi hii.
 
CHADEMA mkitaka kushinda uchaguzi mwaka 2025 nendeni na legacy ya JPM mtapata sapoti kubwa kutoka kwa wanachi na kutoka kwenye baadhi ya viongozi fulani ndani ya chama tawala na itakuwa vigumu kwao kupanga matokeo.

Najua how much you hate him but don't loose this opportunity na msijaribu kumtukana jpm kwenye mikutano yenu ya siasa uko mtaumia CHADEMA.

Namaliza hivo mimi ni kama mtume tu mtukane msitukane lakini ujumbe wangu tayari nimeufikisha.
Legacy ya kuteka, kuteasa na kuua wakosoaji? Au legacy ya kuiba, kusema uwongo na kunyang'anya fedha za wafanya iashara?

Kwa taarifa yako CHADEMA hakuna watu WAPUMBAVU kama wewe
 
Napendekeza kuwa iwe ni marufuku kulitaja jina JPM au kumsifia kwenye mikutano ya chadema.

Kiongezwe kifungu kwenye katiba na kanuni za chadema kuwa yeyote atakayelitaja jina JPM ama kumsifia afukuzwe uanachama
Kwa sababu Chadema unayoiamini wewe ni ile ya kutetea mafisadi,tumekuelewa!

Ila nendeni na mkajaribu kumtukana Magufuli majukwaani muone kitakachowapata!

Magufuli ni state ndani ya mioyo ya watanzania!

Believe it or not but that's it!
 
Back
Top Bottom