Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali imeeleza kishindo kingine katika sekta ya elimu baada ya kueleza mwaka huu imepanga kujenga madarasa mapya 9,000 kwa shule za msingi na awali. Katika mpango huo Serikali ya awamu ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji...
25 Reactions
171 Replies
8K Views
DKT. MABODI ASHIRIKI UCHAGUZI NGAZI YA SHINA Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dkt. Abdulla Juma Saadalla ameungana na Wanachama wenzake wa shina Namba 2, Tawi la Rahaleo, Jimbo la Kikwajuni Mkoa wa...
3 Reactions
3 Replies
839 Views
Wakati tunazaliwa tuliambiwa kwamba hakuna mchumi kama Lipumba na mpaka wakafikia kusema ni mchumi namba mbili tuniani. Sasa nimesoma soma vitabu sijawahi ona hata quotation au mtu aliyemcite...
47 Reactions
173 Replies
9K Views
Tundu Lissu ni Mtanzania mzuri kuwatetea wanyonge. Ni aina ya watu wanaofaa zaidi kuwa chini ya viongozi wengine ili kutumika kutengeneza ajenda za kuwashawishi viongozi kutenda kuliko kuwa wa...
14 Reactions
122 Replies
4K Views
Nimesikia Msigwa akizungumza Wasafi FM ambapo amewahakikishia watanzania kuwa rasilimali zao zipo salama, hakuna wanyama wanaochukuliwa. Hata hivyo ametaka wenye ushahidi wa rasimali kutoroshwa...
14 Reactions
126 Replies
8K Views
UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KIKONGO, KIBAHA VIJIJINI-PWANI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani Mhe. Hawa Mchafu akikagua Miundombinu ya Shule ya Sekondari Kikongo iliyopo Wilaya ya Kibaha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni ya heri kuliko uongozi wa awamu ya tano ulikuwa unanuka damu kwanzia jikoni mpaka chumbani. Magufuli alikuwa katili...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Wasalaam Kama unatafakari vizuri sana na kuwa na matumizi sahihi ya akili yako, basi utaniunga mkono katika hoja tajwa hapo juu, pia kuziunga mkono juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu. Ni ukweli...
0 Reactions
2 Replies
508 Views
Kichwa Cha habari kama kinavyojieleza Mpambanaji asiyeogopa chochote anatarajia kuingia nchini tarehe zilizopangwa, Sasa basi ninachokiona mm Tanzania KISIASA ndiyo kumekucha. Mimi ni CCM dam...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Jumamosi, 14.1.2023, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji ilikagua Mradi wa ujenzi wa miundombinu ya Bomba la Maji la Mugango-Kiabakari- Butiama. Gharama ya Mradi huu ni kubwa: ~...
0 Reactions
4 Replies
929 Views
Lazima Waziri Mkuu mpya atoke Kanda ya Ziwa Ili kuinusuru CCM lazima Waziri Mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke Kanda ya Ziwa. Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa...
8 Reactions
63 Replies
6K Views
Shaka amshauri Rais Magufuli kuachana na CHADEMA, aendelee na mikakati yake ya maendeleo Mwandishi Wetu, Dodoma Friday, Sep 2016 UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesema hakuna...
0 Reactions
3 Replies
421 Views
Kwahiyo mkuu Masoud Kipanya unamaanisha sie chadema hatuna vichwa? Kwa maana sie wanachadema hatufikirii? Mungu wangu wangu masudi kwahiyo Mwenyekiti Mbowe na jopo lake wanatufanya nyie...
21 Reactions
70 Replies
8K Views
WODI YA WAGONJWA MAHUTUTI (ICU) ILIYOJENGWA WILAYA YA IGUNGA - JIMBO LA IGUNGA Wodi ya Wagonjwa Mahututi (ICU) iliyojengwa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano...
0 Reactions
4 Replies
762 Views
Mdude Chadema @mdudechadematz Juu ni sehemu ya wanafunzi 484 wa shule ya msingi Butibu iliyopo Ushetu Kahama Shinyanga wakisoma chini ya mti kwa ukosefu wa madarasa. Chini ni moja ya magari...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Leo kikao maalum cha NEC Kimeitishwa kuchagua wajumbe wa Kamati kuu na uteuzi wa sekretarieti: majina ya Chongolo; Shigela Bulembo yanatajwa nafasi ya ukatibu mkuu CCM.
8 Reactions
55 Replies
5K Views
Kwa takribani miaka sita tangu mwaka 2015 mpaka sasa ninapoandika huu uzi, ccm tulitumia Propaganda tu kuonyesha barabara, shule na hospital lakini Wale waliotakiwa kutoa changamoto yaani upinzani...
3 Reactions
8 Replies
792 Views
Uboreshaji unaoendelea katika sekta ya bandari nchini umeongeza ufanisi na kati ya Oktoba hadi Desemba idadi ya meli zilizohudumiuwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) zimeongezeka. Msemaji Mkuu...
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Back
Top Bottom