Tunawasubiri CHADEMA kwenye majukwaa ya siasa, acheni visingizio. Mnaenda kuisha kabisa sasa

chawa wa mama

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
292
1,083
Ndugu zangu,
Mlikuwa mnajitetea kuwa mmeminywa na wengine mkakimbia madeni mkasingizia mnataka kuuawa.

Sasa uwanja uko wazi, Nina hakika nyie kwa sasa mmelewa usingizi mzito, mnaenda Kulala usingizi wa jumla kwenye siasa.

Hamna hoja tena, mmekwisha kwa hoja. Ila pia muwe wastaarabu muache mambo yenu ya kujitekenya na kujicheka.

#mama Yuko kazini
#Tuna Imani na mama
 
Huna hoja wewe BAWACHA, lete hoja Yako tuijadili hapa. Nyie watupu kichwan. Zaidi ya matusi hamna jipya.
We una nini? Ungekua na maana ungeishi kwa kutia wazee ili wakuhonge hela? We utaniambia nini mi mwanaume nnaefanya kazi na kula jasho langu?

Wewe ni laana tu huna chakutuambia wanaume mshenzi wewe... hujisikii aibu mwanaume unajiita chawa tena wa bi kizee?

Mpumbavu mjalaana mkubwa unanuka laana tu....
 
Ndugu zangu,
Mlikuwa mnajitetea kuwa mmeminywa na wengine mkakimbia madeni mkasingizia mnataka kuuawa.

Sasa uwanja uko wazi, Nina hakika nyie kwa sasa mmelewa usingizi mzito, mnaenda Kulala usingizi wa jumla kwenye siasa.

Hamna hoja tena, mmekwisha kwa hoja. Ila pia muwe wastaarabu muache mambo yenu ya kujitekenya na kujicheka.

#mama Yuko kazini
#Tuna Imani na mama
UZURI hata CHADEMA wana imani na mama ila hawahitaji TEUZI tofauti na nyinyi mna NJAA ya Teuzi
 
Ndugu zangu,
Mlikuwa mnajitetea kuwa mmeminywa na wengine mkakimbia madeni mkasingizia mnataka kuuawa.

Sasa uwanja uko wazi, Nina hakika nyie kwa sasa mmelewa usingizi mzito, mnaenda Kulala usingizi wa jumla kwenye siasa.

Hamna hoja tena, mmekwisha kwa hoja. Ila pia muwe wastaarabu muache mambo yenu ya kujitekenya na kujicheka.

#mama Yuko kazini
#Tuna Imani na mama
Kiswahili ulichoandika hapa determines namna uko mweupe kwa kichwa.
Rudi shule itakusaidia zaidi kuliko…
Huu upupu wako wahhh
 
Ndugu zangu,
Mlikuwa mnajitetea kuwa mmeminywa na wengine mkakimbia madeni mkasingizia mnataka kuuawa.

Sasa uwanja uko wazi, Nina hakika nyie kwa sasa mmelewa usingizi mzito, mnaenda Kulala usingizi wa jumla kwenye siasa.

Hamna hoja tena, mmekwisha kwa hoja. Ila pia muwe wastaarabu muache mambo yenu ya kujitekenya na kujicheka.

#mama Yuko kazini
#Tuna Imani na mama
Jiandaeni kupigwa Kama ngoma,sioni ccm wa kujenga hoja majukwaani
 
Ndugu zangu,
Mlikuwa mnajitetea kuwa mmeminywa na wengine mkakimbia madeni mkasingizia mnataka kuuawa.

Sasa uwanja uko wazi, Nina hakika nyie kwa sasa mmelewa usingizi mzito, mnaenda Kulala usingizi wa jumla kwenye siasa.

Hamna hoja tena, mmekwisha kwa hoja. Ila pia muwe wastaarabu muache mambo yenu ya kujitekenya na kujicheka.

#mama Yuko kazini
#Tuna Imani na mama
Ni muendelezo kulialia mwisho wa hesabu watakuja sema tumeibiwa polisi wamekimbia na masanduku!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom