CCM ya sasa ni ya Kaskazini, Pwani na Unguja

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
817
Reaction score
2,091
Uongozi wa juu wa Sasa wa CCM umesheheni makada toka pande tajwa hapo juu.

Kanda ya Ziwa, Kati na Nyanda za Juu kusini hawaaminiwi na watu wa pwani. Waliaminiwa na mwendazake wakati huo wanaoaminiwa sasa wakiwa wametengwa.

Je, kuna CCM mbili ndani ya chama kimoja? Tusubiri tuone.
 
Na sisi chadema tunataka safari hii mwenyekiti wetu atoke Mbeya.

Sio kila siku wana Mbeya tutumiwe tu kwenye maandamano uchwara, fujo, matusi na kelele zisizokuwa na msingi dhidi ya serikali yetu hata pale inapofanya vizuri katika mkoa wetu tunafunzwa kupinga tu kama ilivyokuwa kwa wana Kigoma wakati wa Kaburu, huku zile nafasi nono za ulaji wa chama wakipeana wajanja wa chache wa kaskazini.

Hili linaumiza wengi, sema ndo hivyo viongozi wetu wa chama mkoani Mbeya wameamua kuuza utu wao na uaminifu wao kwa sababu ya matumbo yao.

Huku ubaguzi wa wazi ndani ya chama chetu unaofanywa dhidi yetu wakiufumbia macho.

Pamoja na matusi yote tunayoitukana serikali, kina Mdude kunyea debe na vichapo lakini tumeshindwa kupewa hata katibu mkuu wa chama? Hii ni aibu na fedheha. Ni muda wa wana Mbeya kusema enough is enough. Hatutorudi kuwa tena misukule, chawa na watokwa povu wa watu wa kaskazini, Never.
Ni dharau, kejeli na aibu kwa wana Mbeya kila siku kutumiwa kwenye uchawa namna hii.
 
Attachments

  • Screenshot_20230109-094622.jpg
    Screenshot_20230109-094622.jpg
    49 KB · Views: 16
  • Screenshot_20230109-094705.jpg
    Screenshot_20230109-094705.jpg
    60.5 KB · Views: 12
  • Screenshot_20230109-094754.jpg
    Screenshot_20230109-094754.jpg
    68.4 KB · Views: 17
Uongozi wa juu wa Sasa wa CCM umesheheni makada toka pande tajwa hapo juu. Kanda ya Ziwa, Kati na Nyanda za Juu kusini hawaaminiwi na watu wa pwani. Waliaminiwa na mwendazake wakati huo wanaoaminiwa sasa wakiwa wametengwa.

Je kuna CCM mbili ndani ya chama kimoja? Tusubiri tuone
Kaskazini kupata mtu mmoja sijui wawili ndio umehitimisha kuwa ishakuwa ya kaskazini.

Ukisema CCM ya wazanzibari, ukanda wa pwani, na waislamu utaeleweka.
 
Kaangalie wajumbe wa NEC ndipo utaelewa nguvu ya CCM imelalalia wapi

All in all pamoja na mapungufu yake lakn CCM imebeba taswira haswa ya nchi kwakuwa watendaji ndani ya chama mpaka wajumbe wa NEC wanatoka pande tofauti tofauti za nchi yetu

Hili pía lingehamia huku upinzani kwetu Chadema ingefuta ile dhana ya ukabila na ukanda iliyomea kwa miaka mingi ndani ya chama!!!
 
Huko ndiko kwenye wenye nchi. Kulikobakia kumejaa watanzania wanyonge tu
 
Na sisi chadema tunataka safari hii mwenyekiti wetu atoke Mbeya.

Sio kila siku wana Mbeya tutumiwe tu kwenye maandamano uchwara, fujo, matusi na kelele zisizokuwa na msingi kama ilivyokuwa kwa wana Kigoma wakati wa Kaburu, huku zile bafasi nono za ulaji wa chama wakipeana watu wa kaskazini.

Ni dharau, kejeli na aibu kwa wana Mbeya kila siku kutumiwa kwenye uchawa namna hii.
Kabisa
 
Dahh watu wa kaskazini sijui kwanini wanaogopwa sana nchi hii....Watanzania tujifunze kufanya kazi na kuepuka majungu na fitina; Khaa!

Kwa sababu ni wabinafsi!
Na kwa sababu wanaishi ki-
Cartel zaidi.
Na ni ving'ang'anizi wakishika wanafanya ya kwao milele!
Mfano ni hapo Chadema!
Mbowe ni mwenyekiti wa maisha!
Ukimbishia ana... ku-chachawangwe chap!
 
Uongozi wa juu wa Sasa wa CCM umesheheni makada toka pande tajwa hapo juu.

Kanda ya Ziwa, Kati na Nyanda za Juu kusini hawaaminiwi na watu wa pwani. Waliaminiwa na mwendazake wakati huo wanaoaminiwa sasa wakiwa wametengwa.

Je, kuna CCM mbili ndani ya chama kimoja? Tusubiri tuone.
Sisi tunaangalia matunda ya kazi na sio regionalism. kama ndo hao hao wamefanya mabadiliko makubwa na ya elimu tanzania kwa nini ulalamike.wewe huoni vichwa vyao vimemfurahisha mungu? kiingereza kifundishwe shule za msingi mpaka denti aweze kukibonga. kwa nini usiwape hugs na kisi cha busara?
 
Uongozi wa juu wa Sasa wa CCM umesheheni makada toka pande tajwa hapo juu.

Kanda ya Ziwa, Kati na Nyanda za Juu kusini hawaaminiwi na watu wa pwani. Waliaminiwa na mwendazake wakati huo wanaoaminiwa sasa wakiwa wametengwa.

Je, kuna CCM mbili ndani ya chama kimoja? Tusubiri tuone.

Chongolo ni kanda gani??
 
Uchonganishi huu.Waache wajikomeshe.
 
Na sisi chadema tunataka safari hii mwenyekiti wetu atoke Mbeya.

Sio kila siku wana Mbeya tutumiwe tu kwenye maandamano uchwara, fujo, matusi na kelele zisizokuwa na msingi dhidi ya serikali yetu hata pale inapofanya vizuri katika mkoa wetu tunafunzwa kupinga tu kama ilivyokuwa kwa wana Kigoma wakati wa Kaburu, huku zile nafasi nono za ulaji wa chama wakipeana wajanja wa chache wa kaskazini.

Hili linaumiza wengi, sema ndo hivyo viongozi wetu wa chama mkoani Mbeya wameamua kuuza utu wao na uaminifu wao kwa sababu ya matumbo yao.

Huku ubaguzi wa wazi ndani ya chama chetu unaofanywa dhidi yetu wakiufumbia macho.

Ni dharau, kejeli na aibu kwa wana Mbeya kila siku kutumiwa kwenye uchawa namna hii.
Ccm kanda ya kati, ziwa na magharibi mliaminiwa mkajaA mapanga, visu, jambia na sindano za sumu kila mnapotembea.

Kaeni benchi kwanza
 
J
Kwa sababu ni wabinafsi!
Na kwa sababu wanaishi ki-
Cartel zaidi.
Na ni ving'ang'anizi wakishika wanafanya ya kwao milele!
Mfano ni hapo Chadema!
Mbowe ni mwenyekiti wa maisha!
Ukimbishia ana... ku-chachawangwe chap!
JIbu hoja ya ccm achana na Mbowe
 
Uongozi wa juu wa Sasa wa CCM umesheheni makada toka pande tajwa hapo juu.

Kanda ya Ziwa, Kati na Nyanda za Juu kusini hawaaminiwi na watu wa pwani. Waliaminiwa na mwendazake wakati huo wanaoaminiwa sasa wakiwa wametengwa.

Je, kuna CCM mbili ndani ya chama kimoja? Tusubiri tuone.
Kuna CCM zaidi ya tatu ndani yake
CCM asili
CCM maslahi
CCM makinikia
CCM Magu
CCM bendera fuata upepo
 
Kaangalie wajumbe wa NEC ndipo utaelewa nguvu ya CCM imelalalia wapi

All in all pamoja na mapungufu yake lakn CCM imebeba taswira haswa ya nchi kwakuwa watendaji ndani ya chama mpaka wajumbe wa NEC wanatoka pande tofauti tofauti za nchi yetu

Hili pía lingehamia huku upinzani kwetu Chadema ingefuta ile dhana ya ukabila na ukanda iliyomea kwa miaka mingi ndani ya chama!!!
Nyie ni mamluki!
 
Back
Top Bottom