Tukubaliane kwanza kuwa Utendaji wa Hayati Magufuli akiwa Waziri wa Miundo mbinu ambapo alitumikia Taifa kwa zaidi ya miongo mitatu ulitia fora. Angalau kwa hilo tulimpongeza sana.
Jambo la pili...
Kuna wengi sn wanaweza kufikiria nini kilisababisha anguko la Chadema wapo wachambuzi wengi wa masuala ya siasa wanaweza Kuja kuelezea mengi Sana yaliyosababisha anguko la kilichokuwa chama kikuu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wawekezaji, wadau wa maendeleo pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika katika Mkutano wa Eneo Huru la...
Wiki hii Waziri Mkuu alikua huku mkoa wa Mbeya ikiwemo mbarali. Katika vikao vya ndani na mawaziri kule Mbeya alitoa muongozo kuwa baadhi ya vijiji na vitongoji viondolewe kwenye GN28. Lakini Kuna...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na kufanya Mazungumzo na, Balozi wa Algeria nchini Tanzania Ahmed Djellal alipofika Ofisi...
Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea na utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya 2020-2025 ambayo imeelekeza juu ya usambazaji wa huduma za kijamii nchini. Awamu ya sita inahakikisha maendeleo...
Ndugu zangu watanzania,
Tanzania ya Rais Samia Imenoga Na inavutua,kila mtu aliye nje ya nchi anakusanya mabegi yake kurejea Nyumbani,kila mwenye mtaji anawaza kufungua biashara ,kila kijana...
Inawezekana ni kweli wana nia ya dhati kuwawezesha walimu katika TEHAMA, lakini kwa ugawaji huu haitasababisha mgawanyiko au upendeleo?
Naona shule x leo wamegawiwa walimu watano na mkuu wa...
Habari zenu Wakuu,
Serikali imetangaza kumalizika kwa kile kilichoitwa mgogoro wa matumizi ya ardhi kwenye Bonde la Usangu uliodumu kwa miaka 15.
Waziri Mkuu amesema Serikali imefuta Government...
Hii haina uhusiano wowote na kikao cha Bunge kinachofuata.
Nilitaka kujua tu, hivi wabunge wetu hawa ambao wengi walipita kwa mgongo wa Hayati JPM, ikitokea mmoja 'miongoni mwao' anapigwa chini u...
Taasisi mbalimbali hata za Kiserikali na Vilabu vya Mpira vimetenga siku moja kila mwaka ambayo hujumuika pamoja na kufanya mbwembwe za kila aina.
Nawashauri nanyi BAVICHA tengeni siku moja iwe...
Habari wadau wa Jukwaa.
Kutoka Mbeya, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Serikali itaendelea na juhudi za kuwaunga mkono Wakulima ili wajikwamue kwa kuwapa Mbolea ya ruzuku na kuwaruhusu...
Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa.
Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu...
Mwanza ni karibu na Mikoa ya Geita, Mara, Kagera, Kigoma, Simiyu, Tabora na Shinyanga kijiografia.
Ni Rahisi kusafirisha wafuasi kiduchu, kutoka mikoa hiyo na wilaya zake na hatimae kuwajaza...
Hivi haiwezekani maafisa husika kukutana na kutiliana saini za makubaliano ya mikataba?
Bila kulazimika kuita watu lukuki,wakiwa na mialiko rasmi,iliyoambatana na Posho za kujikimu.
Wao na...
Tumeona ukiutangazia Umma wa Watanzania kwamba kasi ya mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Nyerere. umefikia zaidi ya 80%. ni jambo zuri kabisaa. Lakini umefunika kitu kimoja muhimu sana hapo.
Kulingana...
Hali waliyofikia wazungu katika maswala ya Jinsia kiukweli inatisha.
Kwa sasa Watoto wa kizungu wanafundishwa kujitambua kama "Mtu" na siyo kama Mvulana au Msichana
Serikali lazima iachane na...
Kwema Wakubwa!
Kwa tathmini zangu ninazoziamini kuliko kitu chochote kile. Nachelea kusema, nchi hii hata watu wote yaani wote milioni 60 tuwe na Degree moja moja na zaidi kamwe haiwezi...
Aliwakaribisha mpaka ikulu kunywa juisi lakini hawakuacha kumharibia;
1. Serikali ilipowaambia wananchi 'tufanye hivi, wao dakika hiyohiyo walipita na, kwa ubabe mkuu, wakasema 'msifanye hata...
Wakuu nimejaribu kufuatilia huko mambele nimegundua wasomi wakubwa hawajitokezi sana directly kupambania madaraka kama huku kwetu gizani Africa. Huko kwa mabeberu wasomi wakubwa wako huru sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.