Nini kimeiua CHADEMA? Walikosea wapi? Vyama vingine vya upinzani vijifunze kuepuka kibri cha kupendwa

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,398
3,907
Kuna wengi sn wanaweza kufikiria nini kilisababisha anguko la Chadema wapo wachambuzi wengi wa masuala ya siasa wanaweza Kuja kuelezea mengi Sana yaliyosababisha anguko la kilichokuwa chama kikuu cha upinzani zifuatazo ni baadhi ya hoja zinazotoa ushahidi juu ya kiini cha anguko la Chadema

Udikteta: Pamoja na kujitabanaisha kama chama kikuu cha upinzani lakini Chadema kilikumbwa na tafsiri batili ya Jina na matendo yake, Chama cha kidemokrasia kinachoendeshwa kidikteta kwa kung'ang'aniwa na mtu mmoja kukiongoza kwa muda mrefu na kukifanya chama kama Mali binafsi ya Familia kwa mfano Mbowe amekuwepo madarakani toka enzi za Mzee mkapa, mkapa aliondoka akamuacha Mbowe kama mwenyekiti baadaye akaja kikwete akamuacha Mbowe kama mwenyekiti

akaja Magufuli akamuacha Mbowe kama mwenyekiti na sasa ni Samia, kwa lugha nyingine ni kwamba CCM imepata wenyeviti wanne tofauti lkn Chadema kikiwa na mwenyekiti mmoja tu naye ni Freeman Alkael Mbowe

Ni kosa kubwa sana kuruhusu mawazo ya mtu mmoja anayekosea Mara kwa Mara kutowajibika pale anaposhindwa
uchaguzi wa Mwaka 2005 ulitosha kabisa kumuondosha Mbowe kama mwenyekiti wa Chadema

Lakini ameng'ang'ania madaraka tu utazani kupe na hatimaye America chama kwa kunyonya damu yote

Mbowe Hana Mamlaka ya kudai katiba mpya kwa sababu yeye mwenyewe ni mvurugaji namba moja wa katiba ndani ya chama chake

tutaendelea kujadili udikteta kama kigezo cha anguko la Chadema namba 2
 
Tuanze kutafuta sababu ya kifo cha chichiemu kwanza.
 
Tatizo Tz hamna upinzani uliosimama haswa watu wanaona bora tu wawaachie tu ma ccm yani upinzani uliponichosha haswa ni pale wlipomuachia Lowassa agombee, yani mnamuingiza tena adui na kumpa cheo aisee 😂😂 ila tukiongea ukweli Nan wa upinzani anafaa kupewa nchi??? Wote hawana misimamo
 
Wewe sio wa kwanza kukiombea kifo. Kuna watu walitaka kuiua chadema wakafa wao wakaiacha
 
Tatizo Tz hamna upinzani uliosimama haswa watu wanaona bora tu wawaachie tu ma ccm yani upinzani uliponichosha haswa ni pale wlipomuachia Lowassa agombee, yani mnamuingiza tena adui na kumpa cheo aisee 😂😂 ila tukiongea ukweli Nan wa upinzani anafaa kupewa nchi??? Wote hawana misimamo

Msimamo kwenye nini?. Ulitaka waanzishe kikundi cha uasi?. Endeleeni na ccm hamna aliyewakataza.
 
Acha unafiki,uzuzu na ujuha!!! Ile nchi hakuna asiyejua dola ilitumia mabavu na dikteta wa wakati huo mwendazake jiwe akawafunga,akawateka ,akawatesa,wakapigwa risasi,wakanyimwa mikutano na hata wao kukutana vikao vyandani,akawafilisi biashara zao, wakatishwa kuuwawa nk.
Nani angeweza kuruka vihunzi vyote hivyo vya dola?? Na bado unaosema wamekufa wapo na wanaogopeka kisiasa
 
Chama kikiwa ni mwendelezo wa kiupinzani tuuu miaka na miaka bila ya kushika dola, Hata kama kikiwa na sera nzuri na mikakati mizuri kiasi gani, lazima kitachokwa tuu!

Chadema kinachokwa na mambo mengi. Miongoni mwake ni pamoja na hayo
 
Chadema kama Mandonga tu maneno mengi utadhani wako serious hawana wanachogambania kama Mandonga yeye mechi za kirafiki tu hawana sera wanafuata trending kama Mandonga tu anaalikwa kupigana kama sherehe ya harusi tu. Miaka yote hiyo mpaka leo hujui wanasimamia nini tofauti na CCM.
 
Upinzani nchi hii hamna kitu. Ni bora tu CCM waendelee kulamba asali. Wenyeviti wake ni madikteta, wengi wako vyamani zaidi ya miaka 20. Sasa watu hao utaanzaje kuwapa nchi, utakuwa kichaa mkubwa.
 
Kilichoiua chadema ni natural coincidences zilizotokea wakati wa uchaguzi wa 2015.
Within chadema yenyewe kulitokea ukengeufu wa kumtosa Dr Slaa na kumleta Lowassa kuwa mgombea wa urais. Wale wasioamini ktk unyumbu hawakufurahishwa na hicho kitendo. Hicho kiliifanya chadema kutoaminika.
Outside chadema, ccm wakachagua jembe, Hayati Dr John Pombe Magufuli (rip) kuwa mgombea wa urais, ambaye aliihuisha na kuipa uhai mpya ccm ambayo ilikuwa imejifia kama chadema ya sasa hivi.
 
Chama kikiwa ni mwendelezo wa kiupinzani tuuu miaka na miaka bila ya kushika dola, Hata kama kikiwa na sera nzuri na mikakati mizuri kiasi gani, lazima kitachokwa tuu!

Chadema kinachokwa na mambo mengi. Miongoni mwake ni pamoja na hayo

Kama wamekichoka chadema , kwanini uchaguzi ukifika figisu ni nyingi.
 
Chadema ni mradi wa kupiga pesa hawana lolote wanamtumia lissu 😂😂😂na mwenywe anajua ...Bongo hamna chama cha upinzani ni wachumia tumbo.
 
Back
Top Bottom