Tanzania ya Rais Samia imenoga na kuvutia

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,213
9,642
Ndugu zangu watanzania,

Tanzania ya Rais Samia Imenoga Na inavutua,kila mtu aliye nje ya nchi anakusanya mabegi yake kurejea Nyumbani,kila mwenye mtaji anawaza kufungua biashara ,kila kijana anayemaliza kidato Cha nne na sita anao uhakika wa kutimiza Ndoto zake za kielimu,vyama vya upinzani japo havinaga hoja Wala Sera Wala ajenda Wala Dira na muelekeo lakini vimepewa Uhuru wa kufanya mikutano popote pale katika Tanzania ya mama Samia.

Kumenoga Tanzania ya Samia,hakuna anayetamani kushuka katika Tanzania ya mama Samia,kila mtu Anayo amani juu ya mwendo malengo dira muelekeo na dhamira ya Rais Samia katika kulijenga Taifa letu,kila mmoja hata anayepinga mdomoni lakini Moyoni mwake anaridhishwa na kuukubali uchapa kazi wa mama huyu na Rais wetu aliyeinuliwa na Mwenyezi MUNGU kututumikia watanzania.

Tanzania ya Rais Samia Imenoga ambapo amani na utulivu vimetamalaki Kama mchanga wa baharini,usalama Ni mkubwa Sana ambapo hata ukiweka pazia mlangoni inatosha Sana na huna wasiwasi wa kuibiwa hata kichanuo Cha nywele,Ni Tanzania ya upendo, mshikamano, umoja na kushirikiana,Ni Tanzania inayozungumza lugha moja ya tu juu ya maendeleo ya Taifa letu.

Ni Tanzania ya masikilizano, maelewano,Ni Tanzania ya kumaliza tofauti zetu kupitia meza ya mazungumzo,Ni Tanzania ya kuwajibika kwa pamoja,Ni Tanzania inayojengwa kwa mikono yetu wenyewe,Ni Tanzania ya kuambiana ukweli,Ni Tanzania ya kukosoana kwa staha na heshima,Ni Tanzania ambayo kila sauti Ina nafasi katika kuchangia mawazo ya kulijenga Taifa letu,Ni Tanzania ambayo kila mtu anaweka tofali la kuimarisha nyumba yetu,

Ni Tanzania ambayo kila mtu anajivunia utanzania wetu,Ni Tanzania ambayo kila mtu anaitetea Tanzania kwa nguvu zake zote,Ni Tanzania ambayo Akilia na kuumizwa mmoja wetu tunaona tumelia kuumizwa na kuonewa Taifa lote. Ni Tanzania ambayo tunafurahia kwa pamoja na kusikitika kwa pamoja.

Ni Tanzania ya Rais Samia ,Mama mwenye moyo Safi,mikono Safi,kauli Safi,matendo Safi,kazi Safi na Matokeo Safi. Huyu ndio Rais Samia kipenzi Cha watanzania,mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU na mwenye kutenda kwa haki katika maamuzi yake ,kauli zake na matendo yake, Hana ugomvi na mtu Wala chuki na mtu Wala hasira na yeyote, kwake wote ni wananchi wake na yeye Ni Rais wao wote,ndio maana ya kuzisikiliza sauti zote hata zile ziumizazo masikio yake.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Rubbish
 
Rushwa
Ujinga umaskini maradhi ila adui mkubwa kwa sasa ni ujinga sijui tunampunguzaje? Maana njia nyingi zimeshindikana
 
Rais wetu mpendwa mama Samia na serikali Yake anaendelea kumpiga adui huyo kwa nguvu zake zote kwa uboreshaji wa secta ya Elimu,kwa kuhakikisha kuwa Miundombinu ya kusomea pamoja na vifaa vya kujifunzia na kufundishia vinapatikana mashuleni, lakini pia anaendelea kuhakikisha kuwa waalimu wa masomo yote wanakuwepo wa kutosha mashuleni kwa kutoa ajira kila Hali ya uchumi inaporuhusu kufanya hivyo,huku kipaombele kikiwa maeneo ya vijijini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom