Ni suala linaloendelea kubishaniwa, kiswahili au Kiingereza kipi kitumike kuhamishia maarifa kwa vijana wa kitanzania (transfer of knowledge).
Huu ubishi kuna wakati mwamba mmoja (Mungu amrehemu)...
Je,.....
1. Hatoshei Kiushawishi?
2. Mnafiki?
3. Mpika Majungu?
4. Muongo?
5. Hana Mvuto / Mvutoless?
6. Si Mpayukaji?
7. Usoni Mama na Rohoni January?
Kazi yangu Kubwa ( Kuu ) leo...
Yes, kuna madarasa bado ni mabovu, yes kuna watoto wanakaa chini na matatizo mengine kama hayo.
Lakini tusilitazame kwa mhemko na kushindwa kumpa Rais Samia Suluhu maua yake;
- Katika kipindi...
Mamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body.
Hili siyo jambo la...
Ombi langu Kubwa kwenu kama GENTAMYCINE kwa mnaomuandaa huyo Waziri Mkuu Mwanamke (Mwanamama) ajaye wa mwaka 2025 (ambaye tayari Jina lake nimeshapenyezewa ila kamwe sitothubutu Kulitaja) ni...
Na. Mwandishi Wetu LUMUMBA,
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Idara ya Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Edward Mjema amewasili Ofisini kwake Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya...
Waziri Makame Mbarawa amekagua maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi (Daraja la JPM) lenye urefu wa Mita 3000 na Barabara Unganishi (KM 1.66) ambapo Utekelezaji wa Mradi huo kwa Sasa...
Utawala wa Muammar Gaddafi Nchini Libya ulifanya kila kitu kuhakikisha wananchi wa nchi hiyo wanaishi maisha bora kwa kila kitu.
Kuoa walioa bure, walikula bure, walisoma bure Na walipewa...
Je, ni sahihi kusimamisha magari barabarani ili kusubiri kiongozi kupita hii leo niko eneo la songwe airport ili kusubiri waziri mkuu apite hii imekaaje wana Jamiiforums.
Tunekaa almost 2 hrs...
Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.
Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu...
Leo tujikumbushe kwenye historia ya nchi yetu tangu tulipoungana na wenzetu wa Zanzibar mwaka 1964.
1. Ni watu wawili tu wamewahi kushika madaraka hayo zaidi ya mara moja ambao ni Edward Sokoine...
Na Ezekiel Kamwaga
Msalaba wa Urais Katika kipindi cha miaka 30 iliyopita, mmoja wa wanafamilia ya Rais aliye madarakani amekuwa akizushiwa tuhuma za rushwa na ufisadi.
Lakini tuhuma hizo hudumu...
Enzi zile za utawala wa awamu ya 5 mambo yalinoga sana. Kila uchwao tungeweza kupigwa biti zito na jipya, kwa kifupi nchi ilikuwa ya moto kila siku, matamko ya kila namna.
Siku moja katika...
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa anayefahamika kwa jina la KAWAIDA, amefikisha malalamiko ya Vijana Wafupi mbele ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, kwamba ajira za Jeshi la Polisi zinawatenga vijana...
Idadi kubwa ya Watanzania ni vijana, nao ndio wanakabiliwa zaidi na tatizo la ajira, vijana wa kike wakiathirika zaidi.
Kukabiliana na changamoto hiyo, hatua hizi zimechukuliwa zikionesha kuwa...
WanaJF Salaam!
Nimeona leo kwenye mitandao ya kijamii issue ya uzinduzi wa Chawa wa Mama kwa upande wa CCM yangu;
Lakini upande wa CDM mara kadhaa majina ya kimkakati ya uendeshaji siasa nchini...
Mhe. Rais Dkt.Samia Suluhu ni moja ya viongozi 50 duniani walioalikwa kuhudhuria kongamano la Uchumi duniani linalofanyika nchini Uswisi lakini viongozi kutoka bara la Afrika waliolikwa ni wawili...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof Ahmed Mohamed Ame Kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini -LATRA
Profesa Ahmed alikuwa Muhadhiri UDSM
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Shaka Hamdu Shaka kupitia mkutano unaoendelea muda huu amesema kuwa kazi nzuri inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan imewafanya nyoka...
CCM ni chama chenye mbinu 100 za kuendelea kubaki madarakani wapo wanachora Michoro na ramani ya uhakika ya kuhakikisha kuwa wanaendelea kubaki madarakani plan A wamekamilisha ni plan ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.