Waziri Byabato usiishie kasi ya bwawa Pekee! Tuambie zilipo pesa za ucheleweshwaji mradi wa JNHP?

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,553
11,885
Tumeona ukiutangazia Umma wa Watanzania kwamba kasi ya mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Nyerere. umefikia zaidi ya 80%. ni jambo zuri kabisaa. Lakini umefunika kitu kimoja muhimu sana hapo.

Kulingana na mkataba Original, kuna kifungu kinatamka kwamba.

Mkandarasi atalazimika kulipa fidia ya pesa,pale ambapo atakuwa amechelewesha ukamilikaji wa mradi kwa wakati. Kulingana na makubaliano wsliyotiliana sahihi baina yake na serikali ya JMT.

Huyu mkandarasi amekiuka hicho kipengele. Amechelewesha mradi husika kwa aslimia kubwa kabisa.yuko nyuma ya muda kwa takriban mwaka mmoja na ushei. Bila kuwepo sababu za msingi.

Wabunge baadhi wsmehoji hilo jambo huko bungeni, lak9ni wewe Waziri Byabato,naibu waziri wa nishati.

Hujawahi kutoa majibu ya kueleweka ndani ya Bunge,kuhusiana na hili. Tumewahi kuona mara kadhaa,waziri wako Makamba, akiibuka ghafla bungeni,na kuanza kukisaidia kurekebisha majibu,pale unapokuwa umebanwa na wabunge kwa joja kadhaa.

Je, hayo mabilioni kama sio trilioni.

Yameishalipwa na mkandarasi kwa kuchelewesha mradi?

Kama yamelipwa je, yameingia kweli hazina?

Hii kitu hiii, haya bwana, muda utaongea soon!

Alamsikhi.

10101.
 
Looks like you don’t know what you are writing. How sure are you that the employer is not responsible for the delay.
Not all delays are occasioned by the contractor
 
Tumeona ukiutangazia Umma wa Watanzania kwamba kasi ya mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Nyerere. umefikia zaidi ya 80%. ni jambo zuri kabisaa. Lakini umefunika kitu kimoja muhimu sana hapo.

Kulingana na mkataba Original, kuna kifungu kinatamka kwamba.

Mkandarasi atalazimika kulipa fidia ya pesa,pale ambapo atakuwa amechelewesha ukamilikaji wa mradi kwa wakati. Kulingana na makubaliano wsliyotiliana sahihi baina yake na serikali ya JMT.

Huyu mkandarasi amekiuka hicho kipengele. Amechelewesha mradi husika kwa aslimia kubwa kabisa.yuko nyuma ya muda kwa takriban mwaka mmoja na ushei. Bila kuwepo sababu za msingi.

Wabunge baadhi wsmehoji hilo jambo huko bungeni, lak9ni wewe Waziri Byabato,naibu waziri wa nishati.

Hujawahi kutoa majibu ya kueleweka ndani ya Bunge,kuhusiana na hili. Tumewahi kuona mara kadhaa,waziri wako Makamba, akiibuka ghafla bungeni,na kuanza kukisaidia kurekebisha majibu,pale unapokuwa umebanwa na wabunge kwa joja kadhaa.

Je, hayo mabilioni kama sio trilioni.

Yameishalipwa na mkandarasi kwa kuchelewesha mradi?

Kama yamelipwa je, yameingia kweli hazina?

Hii kitu hiii, haya bwana, muda utaongea soon!

Alamsikhi.

10101.
mgao wa maji na umeme umekwisha sema kingine
 
Back
Top Bottom