Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uchumi wa Kidiplomasia ni uchumi ambao unatumia diplomasia kufanikisha malengo ya serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo endelevu.Uchumi wa kidiplomasia unaongeza wawekezaji,uuzaji wa bidhaa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kiukweli hili jambo linashangaza sana. Linashangaza kwa sababu watu hawataki kujifunza. Bado kuna watu bila sababu yoyote ya msingi wanahendekeza chuki zao dhidi ya Lissu. Lissu hana kosa...
11 Reactions
47 Replies
2K Views
Unaweza kujenga Imani Kwa wageni kuja kuwekeza nchini Kwa wingi; wageni wakafika Kwa wingi na kutumia fursa Ila usinufaike na kuwepo Kwa wageni hao. Juhudi za Mhe. Rais zinaweza zisizaie matunda...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti. Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa. Eti maridhiano...
10 Reactions
46 Replies
2K Views
Leo katika Mahakama ya Kisutu, inaendelea kesi ya Jamhuri dhidi ya Wakurugenzi wa Jamii Media, ambayo ni kesi namba 458 ya Mwaka 2016. Katika kesi hii, Wanashtakiwa kwa makosa mawili: 1)...
13 Reactions
57 Replies
10K Views
Subiri uwaone kuanzia kesho hapo Furahisha Mwanza. Ili litimie neno la Shujaa Magufuli aliposema "Mikutano ya siasa inachelewesha harakati za maendeleo." Kuwarudisha walikokuwa itahitajika akili...
1 Reactions
4 Replies
422 Views
Heshima sana wanajamvi, Baada ya Wabunge 19 kutimuliwa chamani, ahadi yao ya kupewa ulaji mkubwa na heshima kubwa ipo wazi ni suala la muda tu. Ni wazi Halima Mdee ni kiongozi wa kundi la...
9 Reactions
47 Replies
5K Views
Wabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma. Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA ORODHA YA WABUNGE WA...
61 Reactions
1K Replies
108K Views
Shule zinazotumia mitaala ya nje lkn zinasajiliwa hapa nchini na serikali yetu zinaongezeka kila uchwao. Lakini cha kushangaza ni kwamba waliopewa dhamana ya kutoa usajil kwa shule hizo (wizara...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Tanzania sasa inapitia wakati muhimu sana. Sasa hivi kuna watu wachache ndiyo wameshikilia fungua za amani na katiba ya nchi yetu. Watu hao ni Rais Samia, Kinana, Mbowe, Rais Mwinyi, Makamu wa...
16 Reactions
81 Replies
7K Views
Wengi tunaambiwa kuwa yale ni mapinduzi matukufu. Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari. Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe. Wakati...
12 Reactions
183 Replies
9K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema atawasili nchini Tanzania Jumatano 25 01 2023 saa 13:35 mchana na baada ya mapokezi ataenda Moja kwa Moja kuhutubia Mkutano wa hadhara...
18 Reactions
96 Replies
6K Views
Rais Samia Suluhu amehimiza sekta binafsi kuwekeza Afrika katika uzalishaji wa nishati jadidifu ili kuhakikisha upatikanaji wa uhakika wa nishati hiyo. Ametoa wito huo akichangia mada katika...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
An opposition leader with nothing upstairs? Wide mouth making too much a nasty statements? A colleague is dead before announcements that isn't wisdom. Africa has lost one everyone sober would...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Tangu rais aende kwenye mkutano wa Davos nimekuwa nafuatilia mafanikio ya ziara hiyo kiuchumi bila mafanikio. Kila taarifa inayotolewa na Ikulu mitandaoni, haina maelezo ya manufaa zaidi ya Rais...
7 Reactions
10 Replies
926 Views
Mimi ni mfanyabiashara, nwishoni mwa mwaka jana niliwekwa mahabusu kwa kukataa kulipa tozo ya kuzoa takataka za wamachinga! Kukataa kwangu kulitokana na kuamini kodi hiyo ya huduma ni kwa ajili...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Pamoja na kwamba ACT Wazalendo wamenunua ghorofa kule kwa Mtogole. Pamoja na kwamba Halima Mdee na wenzake bado wanadunda bungeni. Pamoja na kwamba Selasini ndiye Mwenyekiti wa NCCR mageuzi...
21 Reactions
38 Replies
3K Views
Nmekua nikifanya kazi pale ndani ya miaka 4 hivi sasa lakin linapokuja swala la mikataba linayayuka, na kwa wasio fahamu tu kuwa wanaofanya kazi bandari ya Dar es Salaam asa no wafanyakazi wa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ni dispora lakini matatizo yangu ni matatizo ya wengi hata kaka yangu ambaye yuko Tanzania anapata matatizo hayo hayo. Naomba niweke utangulizi kwamba nayoyasema hapa sio kwa 100% ya...
33 Reactions
37 Replies
3K Views
Sasa huko mitandaoni, tunaona picha za mnato, zikimuonesha Samia akiwa na viongozi wa Ulaya, tunaambiwa "anafanya mazungumzo" Sasa kwenye picha ya mnato, utajuaje kama anazungumza issues, au...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom