Mimi ni mwana CCM, Tundu Lissu anachotufanyia sio sahihi kabisa, Sasa anatuchezesha segere ya kujibu hoja zake ambazo kwenye TV hazionyeshwi na hazijibiki.
Yale maelfu ya watu wanaomfuata...
Wanabodi,
Nguvu ya Tundu lissu baada ya kusafiri kwa mtumbwi toka ukerewe si ya kawaida tena, ni kama sio yeye bali amevaa nguvu za maajabu na miujiza.
Mapigo ya Tundu Lissu Ukerewe, Mapigo ya...
Haya ni maneno ya Kiingereza ambayo watu wanayachanganya sana yaani STATE and NATION na kuna muda watu huyatumia kwa kumaanisha kitu kimoja wakati sio kweli.
Nation ni watu wanaounganishwa kwa...
Tulitegemea uteuzi wa vijana uwe chachu ya mabadiliko lakini imekuwa kinyume chake; most of them it's like wakishateuliwa wakaingia ofisini wanaanza kujiandaa kutumbuliwa au kustaafu.
Hatuoni...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amewakutanisha maaskofu 71 wa makanisa ya “kiroho” jijini Dar es Salaam akiomba msaada wao ili ashinde ubunge.
Maaskofu hao walikutana...
Leo katika hotuba yake Temeke jijini Dar es Salaam alisema "Uongo"!
Namnukuu; "Kuna Zoo kubwa ya wanyama imefunguliwa huko Uarabuni, serikali ya Tanzania imekuwa ikifanya biashara ya kuuza...
Chama Pekee cha siasa chenye uwezo wa kufanya mikutano ya hadhara nchini Tanzania (CHADEMA), leo 22/01/2023, huko Musoma Mjini kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mkendo, kimetangaza hadharani...
Waziri wa Katiba na Sheria, DR. Damas Ndumbaro ameshiriki katika uzinduzi wa Kitabu cha COMPREHENSIVE ISSUES OF EMPLOYMENT AND LABOUR RELATION AND LABOUR LAW; Practice for Modern Business in...
Tumesikia Lissu akisema wazi tusimlaumu Waziri wa Fedha kwa sababu ni karani tu anayewelekezwa chakufanya na Rais. Nakubaliana asilimia mia moja na hoja kwa kuzingatia mambo yafuatayo;
~ Mzee...
48 LAWS OF POWER.
Nashangaa CDM wanapotengeneza zimwi ambalo litawashinda, na limeshaanza kuwashida tayari.
Inaonekana Mbowe ni kiongozi jina tu, mwenye chama ni Lissu.
Hata Hotuba ya mwanza...
Nimeona taarifa ya bodi ya nafaka na mazao mchanganyiko (CPB) kufanya maamuzi magumu ya kuwachukulia hatua bila uoga baadhi ya viongozi wa ngazi za juu kwa maslahi mapana ya taifa.
Bodi...
Kipindi Cha awamu ya tano ya jpm ajira zote ziliyeyuka ikawa kila msomi ambaye Hana ajira anafikilia kuwa machinga na rais anafurahia Hali hiyo.
Tukianza na private sector kama mabank, hospitali...
Lissu amesisitiza wananchi waweke shinikizo kudai Katiba Mpya.
Kwamba Mbowe ataheshimiwa ktk meza ya maridhiano kama itaonekana anaungwa mkono na umma wa Watanzania...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Wakuu wa wilaya nchini wameacha kufanya kazi kwa hofu ya kuondolewa au kuhamishwa vituo vya kazi.
“Wakuu wa wilaya...
Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM, Ndugu Japhari Kubecha amesema wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa mambo ya diplomasia ndio maana alishindwa kumshauri Rais...
Misa ya maandalizi ya kumtangaza baba wa taifa Mwalimu Nyerere kuwa Mwenye heri imefanyika wilayani Butiama na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa dini, serikali na vyama vya siasa.
Baada ya...
Hii ndio Habari ya Sasa kutoka Temeke , Mkoani Dar es Salaam .
Wananchi wengi wameulaumu Uongozi wa Chadema kwa kuandaa Mkutano Mkubwa kama huu kwenye eneo dogo , jambo lililosababisha watu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika - Dakar chini Senegal leo tarehe 25 Januari, 2023
Lissu katua nchini leo. Leo hii hii kauwasha moto. Ujumbe utakuwa umewafikia:
"Kero za wananchi."
Bei za vitu vikiwamo vyakula ni kero kubwa. Wenye dhamana na maslahi ya watu hawana habari. Wao...
Salaam,
Dont get me wrong, Mbowe ni kiongozi mzuri na amekipigania chama kwa mda mrefu. Mbowe amekiletea mafanikio makubwa chama cha CHADEMA kwa muda wa miaka 30 aliyokitumikia lakini zifuatazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.