Kama CHADEMA imejengwa na mabilioni ya Mbowe nyie wengine mmechangia nini?

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946
Kwa maelezo ya Mbowe ametumia mabilioni ya fedha kuijenga CHADEMA. Kwa bahati nzuri hakuna anayekanusha haya kutoka kwa wana CHADEMA wenzake.

Swali langu wengine mchango wao ni upi au ni kama KUPE tu kwenye ng'ombe aliyenona?
 
Si ulisikia wito wa Kujiunga na Chama, Ukijiunga unatoa chochote. Lazima na Ukishindwa toa chochote cha mwaka, wewe sio mwanachama tena! au masikio yangu yana dongo?

Mbowe kachoka kutumia mabiloni yake?
 
ataondoka na mpira wake ndo mchezo utakuwa umeishia hapo
 
Kwa maelezo ya Mh. Mbowe ametumia mabilioni ya fedha kuijenga CHADEMA. Kwa bahati nzuri hakuna anayekanusha haya kutoka kwa wana CHADEMA wenzake. Swali langu wengine mchango wao ni upi au ni kama KUPE tu kwenye ng'ombe aliyenona?
Hayo maelezo aliyatoa wapi na lini? Una audio au video clip akieleza Hilo?????
 
Hizo pesa Mbowe alizitoa kwa mapenzi yake kwa chama, au aliwakopesha wenzake?

Kama huko kukopeshana kulifanyika chini ya vikao halali vya chama sioni tatizo, hayo ni makubaliano yao yasiingiliwe, naamini pale kwenye uongozi wa Chadema hakuna mtoto mdogo wa kuburuzwa..
 
Ndilo alilolisema? Walikopeshana? Aliseeema, '....Nimetumia mabilioni yangu....." na katikati akadai yeye katoka kwenye familia ya wenye hela....Zinakauka?
 
Kwa maelezo ya Mh. Mbowe ametumia mabilioni ya fedha kuijenga CHADEMA. Kwa bahati nzuri hakuna anayekanusha haya kutoka kwa wana CHADEMA wenzake. Swali langu wengine mchango wao ni upi au ni kama KUPE tu kwenye ng'ombe aliyenona?

Ngwear FT Mirror - Maskini WENZANGU

Intro: cowwizy ,ybm

Verse 1:
wachache ndo wanaishi wengi wetu ma escorts,
twiga wanapanda pipa hata bila ya passports,
mikoa mingi bado haina hata airports,
zaidi ya migodini madini kuya export,
bila ya wazawa kufaidika,
ndo mana wazanzibara wamechoka kutanga na nyika,
big up Mandela leo South sio Africa,
waliotangulia kupata uhuru bado wanapigika,
bidhaa zilizo expire kutubambika,
meli zinazidi zama wengi daily tunawazika,
wenye hali duni ndo tunao athirika,
wao ma vx yao ni special order uhakika,
tutalia machozi ya damu mpaka yata form bahari,
na tutaogelea wenyewe na watu hawajali,
leta mgomo baridi uijue serikali then muulize Ulimboka umuhimu wa Madaktari let's go

Chorus
(bado nalia tu na Tanzania yangu/kweli mali ni nyingi wale wachache wenzangu/me nalia na masikini wenzangu/eeh baba Mungu sikia kilo changu/issue is harder tuna suffer/sikia kilio changu/issue is harder tuna suffer/me nalia like..........)

Verse 2:
viongozi wa siasa kama viongozi wa dini,
mengi wanaongea coz silaha yao ni ulimi,
mh.spika Tanzania huru inazidi zeeka tayari ni miaka 50,
mengi mmetuahidi pia ahadi ni deni,
pia tunatambua umuhimu wa UN,
kupinga h.I.v,umaskini na rushwa and,
mabilioni yanayotumika kwa campgain,
kama za kupinga unyanyasaji wa watoto,
zisiishie kwenye promo na kuwalisha bado ndoto,
ishu sio kutupiana maneno bungeni,
bali watoto watoke mtaani warudi shuleni
,mkulima shambani anahitaji usafiri wa treni,
nyie piteni angani mazao yake muuzieni,
mpeni bei nzuri aweze mudu zaidi ya trector,
ni mawazo tu DIC usione nakuTATOR

(chorous)

Verse 3.
Tanu ilifanya kazi kubwa 61,
solution sio labda nchi wachukue upinzani,
bali mtanzania wa chini anaishi maisha gani,
watu wanakufa kwa njaa iweje tujivunie amani,
ni mengi tu mazuri yamefanyika mpaka sasa,
ila naamini bado tungekuwa mbali(hivi babu wa Loliondo nae inawezekana tu ilikuwa ni siasa)NO !(Lakini iko wapi hii kaburi ya Balali !?) Men ! Jibu unalo so usiulize swali,una dini ?
Mkristu sali na Muislam swali coz,
bado tunaishi ki mungu mungu,
Baada ya m weka z usikie kizungu zungu jinsi ukoloni unafanya mambo mpaka leo,
kuongoza jamii sio kumtawala mkeo,
najiuliza maisha yangekuwaje bila mziki,
hivi mtaani ingekuwa vp ? Ingekuwa mziki ...

(Chorous)

outro yeah chamber squad baby,one love,Tanzania,Muro jr I see ya ......
Till fade
 
Ndilo alilolisema? Walikopeshana? Aliseeema, '....Nimetumia mabilioni yangu....." na katikati akadai yeye katoka kwenye familia ya wenye hela....Zinakauka?
Wanajifanya wakusikia? Si shangai kwa KUPE hawawezi kujua hata ng'ombe akiuzwa
 
Wanajifanya wakusikia? Si shangai kwa KUPE hawawezi kujua hata ng'ombe akiuzwa
Sio hilo tu, Mwenyekiti wao amewatelekeza, amewakaripia, amewabeza mbele ya Kadamnasi '... kutoka Australia mpaka....' ...na hakuna kitu ambacho watamfanya(Ule ndio Udikteta kwa tafsiri yao) kwani alisema mwenyewe, kiunagaubaga asilimia kubwa ya wafuasi wake hawakubaliani na njia anayotumia kupata maridhiano, hasira zake zile Uwanjani ambazo ni wazi za kivisasi, yaani naweza sema Alionyesha ni ajenda gani ataileta kama akiwa, labda Waziri Mkuu Kivuli hapo baadae. Alikuwa anatabiri, kwa kusema miaka yake ni mingi aliyotumia kupigania Uhuru wake-na kwa ;Propaganda za kitooto anadai alikuwa anapigania uhuru wa wote! Shabash. Uhuru gani huo alionyimwa? anaoudai wakati ambao alijikusanyia 'mabilioni' au Uhuru wa kukusanya mabilioni mengine ndio analeta makasiriko yake?

Dikteta utamjua. Na mwingine anakuja kuanza kufokafoka. Wivu wa CCM.
 
Uchonganishi wa kiwango cha chekechea,mtamaliza maneno yote safari hii,poleni wajane,yatima na chawa wa yule mwovu aliyeko motoni..
Ndio hoja mliyobaki nayo, hamna ajenda nyingine yeyote kama Chama.. Ndio maana akawakaripia nyie madumazi, "Childish Propaganda" tunajua alikuwa hamfokei au kumkaripia mtu mwingine yeyote kwani kwa makasiriko yake alisema 'na Nyie chadema, mna tia aibu Mitandaoni' Usipindishe

cc kwa wenzako mje na matusi yenu ya Chekechea "Childish Propaganda" full of Unsubstantiated claims! Buuul kenge
 
CCM daima.

CCM ndio hiyo hiyo iliyowapeleka kusambaratika kama mbegu za kibuyu kilichokauka.

Mnaja sema "Yule"! Hizo ni wivu na hasira za 'utoto wa mjini' kukutana na full force ya dola. 'Utoto wa mjini' kwa Nchi? Kwa Serikali....Sasa nini? Maridhiano eh?

cc waje huku ni wape na wao.....ndio mjue "Cha Arusha"
 
Hoja yako ni nini hapa, maana matusi ndio mengi. Punguza hasira na matusi, wasilisha hoja zako kwa njia nzuri tu, na utapewa majibu. Hili game mbona halihitaji hasira? Au umeshalewa nini boss?
 
Ungekuwa huvuti bangi ningeshangaa sana. Maana unaongea kwa kupanick mpaka tunashangaa nini shida.
 
Hoja yako ni nini hapa, maana matusi ndio mengi. Punguza hasira na matusi, wasilisha hoja zako kwa njia nzuri tu, na utapewa majibu. Hili game mbona halihitaji hasira? Au umeshalewa nini boss?
Nileteeni Nguruwe wenu mkuuu!
Kwa sababu naamini Hujui kama... kupiga nyeto kunakufanya ukojoe haraka...ambacho ndicho ulichokifanya hapa. unajikojolea kablaaaa!

Ongeza hasira zako chini
 
Ungekuwa huvuti bangi ningeshangaa sana. Maana unaongea kwa kupanick mpaka tunashangaa nini shida.
Mshangao huo ni kwa Dunia nzima 'Kutoka uwanjani Furahisha, Australia na ....." kwingineko na 'Cha Arusha'

next
 
Back
Top Bottom