Leo ni kama siku tuliyompokea Mwanamageuzi Oscar Kambona kutoka Uhamishoni Uingereza!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,151
Hamasa ninayoishuhudia leo inanikumbusha siku tuliyompokea Mwanamageuzi Oscar Kambona kutoka Uhamishoni Uingereza.

Kiukweli Bila kujali itikadi ya vyama wananchi kwa maelfu walifurika kumlaki.

Hata leo naona Watu wameweka itikadi pembeni labda tu Sukuma gang ndio bado wanajishauri.

Karibu nyumbani Tundu Lissu!
 
Enzi za Kambona si kulikuwa na chama cha mapinduzi pekee au?
Mambo ya kusimuliwa haya
 
Tundu Lisu aambiwe ukweli kwamba viwanja vya mwembe yanga vinaonwa na wazalendo wa nchi yetu kama viwanja vya ukombozi na utetezi wa rasilimali za nchi yetu Tanzania, vilipata hadhi hiyo baada ya Dk Slaa kusimama pale na kutangaza list of shame ya mafisadi na wasaliti wa nchi yetu.

Kitendo cha Tundu Lisu ambaye ni msaliti kwenda kusimama pale mwembe yanga hakikubaliki na ni tusi kubwa kwa wazalendo wa nchi yetu.

Leo ni siku ya huzuni mno kwa taifa la Tabzania maana msaliti wa taifa Lisu mzee wa MIGA anarudi.

Mwambieni asipande ndege zetu maana alishangilia zilipokamatwa.
 
Vile Bi mkubwa wa nchi alivyokasirika ulivyomsifia Lisu😁😁😁
16528051820300.jpg
 
Si ndio huyo Mwalimu alisema ana tabia za umalaya malaya? Naomba nirekebishwe kama chanzo changu ni tofauti
 
Tundu Lisu aambiwe ukweli kwamba viwanja vya mwembe yanga vinaonwa na wazalendo wa nchi yetu kama viwanja vya ukombozi na utetezi wa rasilimali za nchi yetu Tanzania, vilipata hadhi hiyo baada ya Dk Slaa kusimama pale na kutangaza list of shame ya mafisadi na wasaliti wa nchi yetu.
Kitendo cha Tundu Lisu ambaye ni msaliti kwenda kusimama pale mwembe yanga hakikubaliki na ni tusi kubwa kwa wazalendo wa nchi yetu.

Leo ni siku ya huzuni mno kwa taifa la Tabzania maana msaliti wa taifa Lisu mzee wa MIGA anarudi.

Mwambieni asipande ndege zetu maana alishangilia zilipokamatwa.
Una uchungu sana kuona mliemwita msaliti yupo hai. Na yule aliesema msaliti auawe yu mavumbini.
Ishi kwenye ukweli kwamba Malipo ni hapa hapa duniani. licha ya risasi 16 mlizompiga bado hamridhiki.
 
Back
Top Bottom