Shaka Hamdu Shaka: Nimezunguka nchi nzima, hakuna sehemu wanauza mchele Tshs. 3,500 kwa kilo

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,428
Kiongozi mkubwa wa CCM amewataka wananchi wapuuze uzushi unaonea mitandaoni kuwa mchele umefikia 3500 kwa kilo sababu yeye mwenyewe ametembelea masoko yote makubwa nchini na hajakutana na bei hiyo tajwa.

Ameenda mbali zaidi na kudai Kuna kona kadhaa za nchi mchele upo hadi sh 1000 kwa kilo. Amesema Kama Kuna mfanyabiashara hajui wapi pa kupata mchele wa bei nzuri basi apige simu yake binafsi apewe taarifa.

Pia amewataka wanasiasa wa upinzani wafanye siasa za kikubwa utoto ubaki Bavicha. Alikuwa hewani UHURU digital muda si mrefu.
 
FB_IMG_16741307699986703.jpg
 
Kiongozi mkubwa wa CCM amewataka wananchi wapuuze uzushi unaonea mitandaoni kuwa mchele umefikia 3500 kwa kilo sababu yeye mwenyewe ametembelea masoko yote makubwa nchini na hajakutana na bei hiyo tajwa.
Ameenda mbali zaidi na kudai Kuna kona kadhaa za nchi mchele upo hadi sh 1000 kwa kilo.
Amesema Kama Kuna mfanyabiashara hajui wapi pa kupata mchele wa bei nzuri basi apige simu yake binafsi apewe taarifa.
Pia amewataka wanasiasa wa upinzani wafanye siasa za kikubwa utoto ubaki Bavicha.
Alikuwa hewani UHURU digital muda si mrefu.
Kweli kabisa kwa sababu bei inaanzia 3,800
 
Huku Gamboshi hakufika...
 
Hivi, Hawa wanaojiita viongozi wa ccm hujisikiliza wanapoongea au maneno hujitoa tu vinywani mwao bila wao kujua? Anaongelea solo lipi lenye kuuza Michele kg 1 kwa Bei hiyo ambayo hata wakati wa mavuno haipo? Akili yake Haina afya toka atenguliwe!
 
Kama kayasema hayo akiwa uhuru digital ni hakika kuna audience aliyoikusudia....sisi wengine kuanza kuhoji ni kumuonea tu.
 
Kiongozi mkubwa wa CCM amewataka wananchi wapuuze uzushi unaonea mitandaoni kuwa mchele umefikia 3500 kwa kilo sababu yeye mwenyewe ametembelea masoko yote makubwa nchini na hajakutana na bei hiyo tajwa.
Ameenda mbali zaidi na kudai Kuna kona kadhaa za nchi mchele upo hadi sh 1000 kwa kilo.
Amesema Kama Kuna mfanyabiashara hajui wapi pa kupata mchele wa bei nzuri basi apige simu yake binafsi apewe taarifa.
Pia amewataka wanasiasa wa upinzani wafanye siasa za kikubwa utoto ubaki Bavicha.
Alikuwa hewani UHURU digital muda si mrefu.
Aje soko la Tegeta Nyuki
 
Back
Top Bottom