Rais Samia Suluhu alisema zama zetu hizi zinapitia changamoto nyingi hivyo ameamua kubuni mbinu mpya ili kuendana na wakati tulipo. amekuja na wazo la nguzo nne (4R) za uongozi ambazo ni maridhiano, ustahamilivu, mabadiliko na kujenga Tanzania mpya
Hizi nguzo nne zimetufikisha hapa leo Tanzania ya sasa ni ya amani, upendo umoja na mshikamo ndio maana watanzania wote sasa tunaongea lugha moja hakuna mpinzani wa kuitukana serikali maana wote tumeunganishwa na Maridhiano nia yetu ni moja kujenga Tanzania mpya yenye maendeleo.