Walichokifanya KLM ni uzushi, uongo na uchonganishi wa Kimataifa, katika statement yao walisema Tanzania na Kenya kuna machafuko ya Kijamii hivyo ndege zao zinaweza kulazimika kubadili ratiba...
Salamu,
Bila kumung'unya maneno katiba yetu ni tatizo la msingi sana, hata huu ugumu wa maisha ni zao la katiba wengi hawawezi kuelewa hapa.
Kwa kiwango kikubwa haya magumu tuliyo nayo Sasa ni...
Lengo la Mhe. Rais Dkt Samia la kuboresha mazingira ya Uwekezaji na Biashara nchini lilikuwa ni kuinua uchangiaji wa pato la Taifa na kutibia uchumi wetu uliokuwa unakwenda shimoni.
Rais Samia...
Mjadala wa Walimu kukataa Uteuzi wa uDC umekuwa mkubwa kana kwamba wao ndio Watu wa kwanza kukataa Uteuzi hapa nchini.
Kuna Wengi hukataa Teuzi kimya kimya na maisha yanaendelea.
Yuko mtu...
Chawa wamechachawa la kufanya halijulikani.
Mwenye chawa kawaasa kiutu uzima kujikita kwenye kujibu kwa hoja wala si matusi.
"Mezani kuna ugumu wa maisha, mfumuko wa bei, kodi, tozo na...
Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Viongozi na wanachama wa Maskani ya Kachorora waliofika Ikulu leo kwa...
Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Mikumi, Bakari Hasani amekihama chama hicho na kujiunga na CCM na kusema ameridhika na kazi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan na ameamua kumuunga mkono...
Leo waziri wa kilimo Hussein Bashe amezungumza na waandishi wa habari amewasihi vijana wanaofikilia kulima kilimo kwenye mitanzandao ya kijamii waache mara moja
"Tunatoa uelewa acheni kulima kwa...
Habari,
Zile Gari za wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wanaziacha wakistaafu au wanaondoka nazo?
Kuuliza siyo ujinga naomba majibu ya swali hilo hapo juu.
Nimeona imetolewa hoja kwamba kutangaza mwanafunzi Bora au kutangaza shule Bora nikuzifanyia marketing shule binafsi. Aliyetangaza au kutoa TANGAZO hili simfahamu historia yake lakini natabiri...
Alichofanya bashe kuondoa utaratibu wa serikali kupanga mahali mazao yauzwe na serikali ni jambo muhimu na lililohitajika kufanyika muda mrefu ila bado halitoshi kabisa kuleta mabadiliko makubwa...
Wakuu,
Tetesi zilizonifikia ambazo SI NZURI (kwa tunaopenda kuona wenzetu hata tukiwa na tofauti nao) zinaashiria kama kuna kitu kisicho cha kawaida kimemkuta bwana huyu hii leo.
Vyanzo vyangu...
Nimewahi kulizungumzia hili, na nitalizungumza tena. Watanzania bado tuna akili mbovu sana ya kuuona uteuzi kama fursa ya "kuula" au kufaidika kibinafsi.
Tunalaumu ufisadi, huku mtu anaefanya...
.unapoweka mkataba wa kufaulisha wanafunzi kwa asilimia 70% au 80% bila kuzingatia mazingira ya mtoto anapoishi huo utakua an academic Plagiarism, serikali inapaswa kuchukua hatua dhidi ya...
Mbowe ni mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambapo amedumu madarakani kwa muda mrefu akijaribu kumfukuzia Baba wa Taifa kwa muda ambao aliiongoza TANU hatimaye CCM...
Kitendo cha Baraza la Mitihani cha kujaribu kuficha udhaifu wa Shule za Serikali ya Tanzania , kwa kushindwa kutoa elimu bora na kuamua kuficha nafasi ya shule hizo kwenye matokeo ya jumla...
MNEC MLAO AMKAANGA TUNDU LISSU, ASEMA NI MPOTOSHAJI.
Alhamisi, Jan 26, 2023.
Misungwi, Mwanza.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwinshehe Mlao (MNEC) amewasili Jijini Mwanza...
Kwa miaka kadhaa sasa baraza la mitihani ya taifa linatoa matokeo ya kidato cha pili kwa kutumia mfumo wa division tofauti na ule wa miaka ya nyuma wa wastani.Hii tasfiri yake kuwa mwanafunzi...
Ndugu zangu watanzania,
Huo ndio ukweli na uhalisia, kwa Sasa Rais Samia ndiye kiongozi mwenye ushawishi na kiongozi Bora Barani Afrika, Ndiye kiongozi anayefuatiliwa Sana kutokana na utendaji...
Mnec Richard Kasesela amesema Chadema wameanza Mikutano yao ya hadhara na kila mahali Wanamsifia Rais Samia hivyo 2025 wasiweke mgombea Urais wa JMT kwa sababu Mama anaupiga mwingi
Kasesela...