.unapoweka mkataba wa kufaulisha wanafunzi kwa asilimia 70% au 80% bila kuzingatia mazingira ya mtoto anapoishi huo utakua an academic Plagiarism, serikali inapaswa kuchukua hatua dhidi ya matatizo waliyonayo wanafunzi, na wadau wa elimu wakiwamo wazazi na serikali si jambo la mwl pekee,
. Elimu inachangamoto nyngi yakiwamo madai ya mapunjo, mfano MWI alipanda daraja 2019, alitakiwa kupanda 2017 lakini hakupanda kwa ajenda ya uhakiki wa vyeti, lakini baada ya kupata hilo daraja hakuliwa miezi miwili hadi leo hajalipwa miaka, leo unamwandikish mkata mwalimu, hana nyumba ya kuishi hana usafiri,
.
. Shule ya day zimegeuzwa na wakuu wa shule kuwa bording na mwalimu anaambiwa arudi kusimamia hizo programu, inafika pahali jioni watoto badala kuhudhuria michezo imekua ni kujisomea mtindo mmoja, hakuna extra carriculam, hakuna extra allowance ya kumrudisha huyu mwalimu muda wa ziada,wakuu wamekua mungu, hawawazi muda wa kumpumzika mwal kwa kujiandaa na mada zinazofuata matokeo yake ni vitisho vya kijinga,CHAMA CHA WALIMU KIPO KUMENYAMAZA.