Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo kulikua ma msafara wa mheshimiwa Rais Dr Samia ulikua unapita barabara ya Morogoro Road kuelekea maeneo ya Kibaha huko, cha ajabu sisi raia tunaotumia huduma za usafiri za mwendokasi tukazuiwa...
18 Reactions
33 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM, Mkoa wa Arusha (UVCCM), Lengai ole Sabaya, amesomewa maelezo ya awali ya kesi inayomkabili ya kujifanya mtumishi wa umma katika Idara ya...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Siasa chafu za ubaguzi mlizochagua kuitana wale si wenzetu wale wasaliti, wale si wazalendo ni mbegu mbaya mnayopanda, mnajenga jamii yenye mgawanyiko, mnaligawa taifa kwa matendo yenu. Lissu...
24 Reactions
47 Replies
7K Views
Iko wazi kwamba OCD wa Hai alinyamazia unyama wote ulioambatana na uchafu wa kutia aibu wa Mhalifu Ole Sabaya, kwa vyovyote vile Mtu mwenye mamlaka ya kuzuia Uhalifu anapounyamazia ili uendelee...
17 Reactions
56 Replies
7K Views
Eti kutatua kero za watanzania. Mpyu.... 👇
1 Reactions
7 Replies
812 Views
UTEUZI: Leo, Nurdin Babu ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti kuchukua nafasi ya Emile Ntakamulega ambaye alitajwa kimakosa. ============== Nlikuwa natizama hapa Azam two (Kama sijakosea)...
32 Reactions
367 Replies
80K Views
Mgogoro wa ardhi ambao umekuwa ukiendelea kwa muda umesababisha Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma kuamua peleka Mahakamani mashitaka dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Shitaka hilo lililofunguliwa...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi, amezindua kituo cha maarifa ya HORTICULTURE, kilimo cha viungo, matunda na mbogamboga, shughuli iliyofanyika Mpendae...
2 Reactions
2 Replies
607 Views
Msikilize Dkt. Slaa akielezea hila na hujuma za Tiss, na Polisi, dhidi ya Chadema. Kabla ya kesi ya ugaidi ya Mbowe na Chadema kulikuwa na kesi ya ugaidi dhidi ya Lwakatare. Dkt. Slaa ameeleza...
10 Reactions
102 Replies
7K Views
Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango amesema manung’uniko hayo ya Wananchi yanaonesha changamoto nyingi zilizopo kuanzia ukamataji wa wahusika kujua hata haki zao pamoja na ucheleweshaji wa...
1 Reactions
4 Replies
992 Views
"Watu wanaangalia Risk Management ya Future zao" Tangu juzi, kuna watu wanapost humu JF kwa hasira sana kwamba kuna wateule wa U-DC,ambao hawakutokea katika vituo vyao vipya. Ili kuapishwa kama...
0 Reactions
10 Replies
864 Views
Evil does not pay, leo imebainika wazi CWT ni agent wa CCM, hata kama mlioteuliwa mmegoma kuapa ila mmeumiza watu sana na walimu wanaodhalilishwa kwa kufungishwa mikataba ya hovyo. • Mh Rais huyu...
0 Reactions
5 Replies
717 Views
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji ametoa changamoto kwa sekta ya umma na binafsi kufanya jitihada za kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha Afrika na Dunia linapokuja suala la...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Charles Mwanziva amekula kiapo cha uongozi kwa nafasi ya Mkuu wa Wilaya mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka leo tarehe 30 Januari, 2023 katika...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalamu wana JF, Wakati vijana wengine wako busy na ku-bet, Bashe ni kijana anayetaka kuleta mapinduzi ya kweli ya kilimo na uchumi Kilimo ni biashara kama biashara nyingine, na kwa bahati...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Mchungaji Msigwa amesema yeye ni Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Kamati kuu ya Lissu Home Coming na yuko jijini DSM kushirikiana na Viongozi wa Kanda ya Pwani kuandaa Mapokezi. Makamu Mwenyekiti wa...
13 Reactions
145 Replies
8K Views
Waziri Bashe tumeona kwa miezi kadhaa umezindua program inaitwa BBT (Building Better Tomorrow), ambayo itafanywa na wizara ya Kilimo kwa ajili ya vijana , hii ni Kuingilia majukumu ya Wizara ya...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Mfumo wa vyama vingi vya siasa bila Mikutano ya Kisasa ni sawa na kuwa katika mfumo wa Chama kimoja. Nashauri viruhusiwe sasa kwani tumeshavisahau yaani vinavyokumbukwa ni CCM, Chadema na Chaumma...
1 Reactions
3 Replies
701 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Baada ya siku chache kupita kwa mh Rais Samia Suluhu Hasani kufanya uteuzi wa waheshimiwa wakuu wa wilaya kadhaa nchini ambapo kwa asilimia kubwa ya wateuliwa...
1 Reactions
1 Replies
785 Views
Ujiji, Kigoma 01 Septemba, 2022 Umoja na mshikamano wa watanzania na Taifa kwa ujumla ni masuala yaliyopewa kipaumbele kabla na baada ya uhuru kupitia vyama vya TANU na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
0 Reactions
50 Replies
3K Views
Back
Top Bottom